Je, unaweza kumshauri mwanao kuwa msanii?

tusibishane,nauhakika kuwa hata connection na hawa watu huna...............achana na ubishi na watu ambao tuna connection huku juu
na nina imani hata exprience na hizi kazi huna
Wewe una connection gani?acha kuongea uongo humu na unafanya hivyo kwa manufaa yapi?hiv angekuwa hana nguvu kwenye media yake unazani kwanini kajaza Sana nduguzake pale Wasafi na marafiki zake? Na Kaka yake kampa role kubwa pale ya vice president ikiwemo kumpa kusimamia idara nzima ya mziki department
 
Mafanikio sio mpaka uwe napesa nyigi, ebu Muangalie..... Sole Soyinka, Bernard Mapalala, wote awo wameandika vitabu vizuri.....alafu use menimataklie mwanangu kuwa msanii.
 
tusibishane,nauhakika kuwa hata connection na hawa watu huna...............achana na ubishi na watu ambao tuna connection huku juu
na nina imani hata exprience na hizi kazi huna

Wenye connection na hizo kazi au ungekuwa member wa wasafi media, usingekuwa na uelewa mdogo kiasi hicho, huyo dogo unaebishana nae angekuwa na akili za kujitapa kama wewe, tungeyajua mengi saaana.Connection huna, na hata kama unayo haitoshi kueleza yaliyomo WCB.
 
Umemaliza kila kitu tatizo la sisi wa Tanzania tunajifanya wajuaji Sana na tunajua kila kitu Ricardo Momo,Romy Jones pamoja na managers wa WCB ndo wanaonajua mambo yanayohusiana na WCB si mtu wa nje yoyote.Sisi wengine tunaongea mambo yanayoonekana basi si nje ya hapo.
 
Kaa utulie.............assume unamepanga nyumba na una hela mpaka za kuajiri watu waweza daiwa pango la nyumba unayoishi ya zaidi ya mwaka????
wacha kuwashwa........................RAYVANNY naye kafukuzwa kwenye nyumba aliyokuwa anaishi kwa kushindwa kulipa kodi muda mrefu...........HARMONIZE just kudaiwa MIL.500 alishindwa kulipa in cash akabidi auze nyumba zake kwanza wajua ni kwanini,unaenda kufanya show kubwa nje lets say unakadiria kuingiza MIL 200......mbali na madancer na crew utakayoenda nayo utatakiwa kulipa MIDDLE MEN lets say its around MIL 60 kwa kiasi cha chini sana ,na huwa middle men hawi mmoja lets say 2 tu,60 x 2=MIL 120,Toa hela ya kodi 20% ambayo ni sawa na MIL 40 ,MIDDLE MEN + TAX=MIL 160 bado kama lebel huwa wanakata chakwao wadhani kitabaki nini.....................................................niko kwenye hili soko zaidi ya miaka 15 sasa!!!!
 
ninauzoefu na hizi kazi kwa zaidi ya 15 yrs.........................nikupe mfano wa kimbumbumbu,kwenye comment huko juu kuna mtu kasema Diamond na hela zake anauwezo wakuajiri watu zaidi ya 60,OK si tatizo.............waweza nambia how come mtu mwenye hela ndefu anafeli kulipa pango la nyumba aliyopanga kwa zaidi ya mwaka mzima na huku kila mwezi akiwa anafanya show Kumbuka RAYVANNY naye katimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapanga kwa kushindwa kulipa pango kwa muda mrefu,HARMONIZE ili alipe MIL 500 za kuvunja mkataba alikosa cash yakutosha akabidi auze na nyumba na baadhi ya mali anazomiliki ili alipie dau hilo na bado deni amebakiza.........mbali na SALLAM SK na huyo RJ kuna watu nyuma ya WCB wapo wanaoipush ambao huwajui na wao hawataki kujulikana direct zaidi ya kuwepo kwenye MIKATABA tu na wanao wajua ni wachache na ukitaka kuwajua tafuta connection ya wanaowajua.......
unaenda kupiga show nje ambyo unauhakika wa kuingiza around MIL 200,MIDDLE MEN kwa gawio la chini atataka around MIL.60 na mara nyingi hatakuwa peke yake lets say wapo wawili 2 kwa gawio hilo hilo 60 x 2=MIL 120 ....bd hujalipa kodi ambayo ni around 20% sawa na MIL 40 ya MIL 200 achana na crew utakayoenda nayo.....estimation yake ni around 160MIL waweza nambia atabakiza kiasi gani ikiwa show ndo pato kubwa la msanii.........
 
Vanessa Mdee ni yupo nyuma ya Diamond, Ila kweny maisha yake binafsi nae n boss kubwa, c unajua muke ya rotimi. Ila sijapenda nafas uliyomuweka kweny hii list ako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa upande wangu ni BIG NO.. labda itokee tuu
 
Niliskia Diamond anakesi kafunguliwa na landlord wake kasababisha hasara kwenye nyumba ya watu na ana madeni ya kodi zaidi ya milion 400

na saizi show zimebuma labda views
Pamoja na yote Diamond kafanikiwa sana kimuziki na kimaisha, so hilo halihitaji mjadala saaana. Kungekuwa na wasanii hata 50 waliowahi kufikia mafanikio ya jamaa atleast mzazi unaweza pata moyo wa kumruhusu mwanao afanye sanaa, tatizo ni je kina Diamond wako wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo tetesi za diamond kudaiwa sh 400m ulisisikia ikiwa diamond yupo nje ya nchi haya sasa amesharudi Tanzania je umesikia tena jamaa anadai? Hoja yako nyingine umesema Rayvanny anadaiwa hela ya Kodi lakini umeshindwa kujua Rayvanny kapanga nyumba nzima na nyumba ya Bei ghali nikujuze Rayvanny hajatimuliwa Kama unavyosema bado yupo hapo hiv mtu ambaye Hana hela anaweza kumiliki Prado anayomiliki Rayvanny?hoja nyingine umezungumzia hisia zaidi kuliko kuleta evidence.
 
Mkuu uwekezaji wa mziki unahitaji pesa ya kutosha ili utoboe,useme utegemee kipaji tu bila kuwekeza pesa..lazima upotee kwenye soko.Tuanzie kwenye kutunga wimbo,kutengeneza audio,video hapo lazima pesa ikutoke,kuitangaza nyimbo yako lazima pesa ikutoke, upeleke vituo vya radio na tv hapo lazima pesa ikutoke....ukija kupiga mahesabu unawezakuta milioni 200+ imetumika ndio uje uanze kupata faida. Kwa hali ya kawaida msanii anayeanza mziki kuwekeza pesa hizo ni shida,ndio maana wanatokea watu wenye fedha zao na kuamua kummiliki msanii huku baadaye waje wagawane faida.Mbaya zaidi msanii akivuma....anaanza kusikiliza maneno ya nje na kushauriwa na wahuni kuwa ananyonywa,ndipo hapo anaachana na tajiri yake akitegemea akisimama mwenyewe kwa sababu ana kipaji atatoboa.Ndivyo wengi hupotea kwenye mziki.....mziki ni kuwekeza pesa sio kipaji tu,kama ni kipaji kawaambie majirani.
 
hata Ali KIba anamiliki BMW X6 lakini ile MIL 4 ya MAN WATER ilimteteresha.................maisha ya masuperstar wengi ni ISTA....ila ukija kwenye uhalisia mkuu hata mkulima aweza kuwa na afadhali natamani nikupe namba ya RAYVANNY uongee naye private na awe muwazi kwako nadhani utaacha kuongea pumba

Diamond bado hajailipa hela anayodaiwa wamefanya negotiation tu...
 
List yangu iko randomly, btw mi naona kama Vannesa sikuhizi hayuko siriaz na muziki, yuko bize na mapenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikisikia haya maneno "Vanessa now hayuko serious na music Yuko bize na mapenzi" naumia Zaid ya muhusika mwenyewe. Vee Yuko on [emoji91][emoji91][emoji91] na bado anatamba haswaaa hawa wengne watasubiri, japo kasema kajipa likizo maan miak 13 ya Muzik wake hajawah kuwa off,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…