ninauzoefu na hizi kazi kwa zaidi ya 15 yrs.........................nikupe mfano wa kimbumbumbu,kwenye comment huko juu kuna mtu kasema Diamond na hela zake anauwezo wakuajiri watu zaidi ya 60,OK si tatizo.............waweza nambia how come mtu mwenye hela ndefu anafeli kulipa pango la nyumba aliyopanga kwa zaidi ya mwaka mzima na huku kila mwezi akiwa anafanya show Kumbuka RAYVANNY naye katimuliwa kwenye nyumba aliyokuwa kapanga kwa kushindwa kulipa pango kwa muda mrefu,HARMONIZE ili alipe MIL 500 za kuvunja mkataba alikosa cash yakutosha akabidi auze na nyumba na baadhi ya mali anazomiliki ili alipie dau hilo na bado deni amebakiza.........mbali na SALLAM SK na huyo RJ kuna watu nyuma ya WCB wapo wanaoipush ambao huwajui na wao hawataki kujulikana direct zaidi ya kuwepo kwenye MIKATABA tu na wanao wajua ni wachache na ukitaka kuwajua tafuta connection ya wanaowajua.......
unaenda kupiga show nje ambyo unauhakika wa kuingiza around MIL 200,MIDDLE MEN kwa gawio la chini atataka around MIL.60 na mara nyingi hatakuwa peke yake lets say wapo wawili 2 kwa gawio hilo hilo 60 x 2=MIL 120 ....bd hujalipa kodi ambayo ni around 20% sawa na MIL 40 ya MIL 200 achana na crew utakayoenda nayo.....estimation yake ni around 160MIL waweza nambia atabakiza kiasi gani ikiwa show ndo pato kubwa la msanii.........