Je, unaweza kumshauri mwanao kuwa msanii?

Asipokuelewa hapa atakuwa ana matatizo ya akili na ujuaji mwingi.
 
Taja hiyo project uliyoweka hela?
 
wekeza kwenye music industry kwanza...halafu tuje tuongee pumba vizuri
Issue ni fake ID ndomaana hata wew unataka kuaminisha watu eti umewekeza kwny music industry.Nimeona apo juu unasema et unatamani umpe mkuu namba za rayvanny aongee nae, Unadhani unazo wewe tu eeh..?? Hakuna shoo yenye mchanganuo wa kifedha wakipumbav hvy, yaan shoo ya 200M, middleman apate 120, hahaha.. washikie Akili wengne sio mimi.Naijua vzr WCB kuliko, Naongea fact, kaa usubirie hiyo kesi.
 
kazana kuijua
 
Hata mimi hapo akili imegoma kuamini, show ya mil. 200 msanii aondoke na mil 40 hiyo ni zaidi ya biashara kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wewe jamaa ni muongo sana, Umewekeza kwny project gani?? Simaanishi ujiexpose apa, nataka uweke code kdg tu hapa, afu me ntajua umemaanisha ipi, kama wewe ni member wa WCB nikisema code nadhan utakuw umenielewa.Otherwise wewe ni kapuku tu, usiejua lolote.
 
boss na code za kikapuku wapi na wapi.....ila inshort dili la mbezi linanihusu
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Uwezekano wa kutoboa upo ila probability ni ndogo mno, je utamshauri mwanao awekeze sehemu ambayo ni kama gambling?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa life ya saiv kila kitu ni gambling.... unachofanya ni kumbetia mwanao, acha abeti mwenyewe asije kukulaumu... kimsing timiza majukumu yako kwa kumuelekeza mambo yote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
boss na code za kikapuku wapi na wapi.....ila inshort dili la mbezi linanihusu
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ We jamaa umefurahisha yaani nimecheka kwa nguvu mpaka watu wananishangaa eti deal la mbezi me nipo we jamaa inabidi uwe comedian
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ We jamaa umefurahisha yaani nimecheka kwa nguvu mpaka watu wananishangaa eti deal la mbezi me nipo we jamaa inabidi uwe comedian
jikaze coz nadhani haina haja ya kukuonesha na mikataba.....hela ni zangu na kama zinakuuma basi watabia za kike
 
Hata mimi hapo akili imegoma kuamini, show ya mil. 200 msanii aondoke na mil 40 hiyo ni zaidi ya biashara kichaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha tena anakwambia kwny hiyo 40M et bado management yake haijatoa kitu.Ni kweli Mond analazimika kugawana mapato na management yake lakini si katika mfumo wa kipumbavu hivyo.Huyu jamaa anataka kujifanya anaijua sn WCB kumbe ni shabiki wa kawada tu.
 
Haya sasa Babu Tale na Sallam mnabishana bila kujua[emoji1]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] We jamaa umefurahisha yaani nimecheka kwa nguvu mpaka watu wananishangaa eti deal la mbezi me nipo we jamaa inabidi uwe comedian

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jikaze coz nadhani haina haja ya kukuonesha na mikataba.....hela ni zangu na kama zinakuuma basi watabia za kike
Dili la Mbezi ndo uwekeze pesa tena nine figures...??? Mkuu mimi ngoja niishie hapa, naamini nkiendelea huenda nikafika ambako sitakiwi.Kuhusu WCB kidoooooogo waweza kuwadanganya wengne, ingawa naamini watz wa sasa sio wapumbav kiasi hicho.Kingne unachotakiwa kujua ni kwamba JF ni platform ambayo ukidanganya wapo wanaoujua ukweli.
 
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Kwahiyo ulitaka niweke MIL 10.....wewe ni nani mpk unipangie maisha na nilivyovichuma
ukiwa nazo utajua ni kwanini tunayafanya haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…