Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?
Hii putty ina ulazima gani wakuu?
Hii putty ina ulazima gani wakuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kufanya skimming katika kuta hakukwepeki ndg, ukipaka rangi kwenye kuta moja kwa moja bila kuweka putty, utatumia kiasi kikubwa cha rangi kutokana na rangi nyingi kunyonywa na kutaWakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?
Hii putty ina ulazima gani wakuu?
Inawezekana ila kunakuwa na utofauti Mkubwa wa Aliefanya skimming akapaka na rangi na yule ambae hajafanya skimming amepaka rangi tu.Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?
Hii putty ina ulazima gani wakuu?
🤝🙏Kufanya skimming katika kuta hakukwepeki ndg, ukipaka rangi kwenye kuta moja kwa moja bila kuweka putty, utatumia kiasi kikubwa cha rangi kutokana na rangi nyingi kunyonywa na kuta
Ramani, Makadirio au Ushauri tuwasiliane
kuuliza muhimu mkuuNi sawa na kupaka mafuta mwili bila ya kuoga
Tatizo Ni nini Ndugu? Uchumi mdogo au fashion?
Wakuu kama lipu imeshafanyika je unaweza kupaka rangi nyumba bila kuweka wall putty?
Hii putty ina ulazima gani wakuu?
point muhimu sana hii. asante sana mkuuwatu wanaishi kqa kuuza wallputy wanaweza kuja hapa wakapinga
zinauzwqje hizi mkuu, kama unaweza kujua beiInategemea aina ya rangi. Ile silcoat(rangi zenye vipele) inapigwa baada ya plaster tu haihitaji ufanye skimming na wallputty.
Mara ya mwisho nilinunua ndoo moja kama 120,000 ila ndoo moja inapaka kama sqm 8 hivizinauzwqje hizi mkuu, kama unaweza kujua bei
asante sana mkuuMara ya mwisho nilinunua ndoo moja kama 120,000 ila ndoo moja inapaka kama sqm 8 hivi
ndo unaamka mkuu auKumekucha!!