Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

Kaka kwa taaluma na IQ yako sikutegemea haya kutoka kwako.

Ukipewa u dc, naweza kuona kaka Pascal mwingine kabisa.

Niseme kweli, nimesoma heading tu sikutaka kuendelea

Naishia hapa.
 
Paskali unapoteza umakini wako siku hizi labda kwa sababu ya uzee, hili bandiko halikupaswa kutolewa na wewe. You can do better
 
Chadema wamepata fedha kutoka kwa wafadhili wa nje na ndani, wabunge wao, michango ya Wananchi n.k lakini wameshindwa sio kujenga tu ofisi bali hata kukarabati au kupiga rangi. Apo ndipo tofauti ya uongozi ilipo.
 

Mhe. P,
Kuna wakti huwa nakuona kama hauko makini kwene kujenga hoja zako.
Nikuulize Swali rahisi na dogo tu kuhusiana na hiki kihoja chako:
JE, WATANZANIA WAKO TAYARI KULA UBUNGO INTERCHANGE?
 
Wapi 50ml kila kijiji?
Wapi laptop za walimu?
Wapi umoja kama taifa?
Wapi uhuru wa kujieleza?
Kulikoni mauaji ya wakosoaji?

Ccm hamna utu na mmeiharibu nchi, ilikuwa kisiwa cha amani sasa inaelekea kuwa Sudan
50ml kila kijijii - zahanati zinajengwa kila kona ya nchi na zinaokoa maisha ya kinamama wajawazito.

Laptop za walimu zinakwenda kununuliwa awamu hii.

Umoja kama Taifa upo. Rais kutoka Chato, Makamu kutoka Unguja, waziri mkuu kutoka Lindi na mawaziri kutoka kila ya Tanzania, unataka umoja gani wa kitaifa?.

Kujieleza uhuru upo lakini ukivuka mipaka na kutokuheshimu wengine ujue itakula kwako mazima.
 
Guku!!! Komaa I hope this time akirudi 21-25 lazima akupe wilaya

Na asipokupa ntakushangaaa mpaka utumbo

Wish you all the best
 
Vipi mzee wewe sio ulikwishatuaga hapa unaachana na mambo ya Uandishi unaingia kwenye siasa? Kama siasa ilikushinda ilikuwa ututangazie kuwa umerudi
 
agiz
agiza unachokunywa mkuu nipo njiani
 
Unamlambisha pipi mtu huku unamkanyaga. Sasa mtu huyo akipiga kelele kuwa unamkanyaga amekosea nini wakati anaumia, pipi mdomoni!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Yani majukumu ya serikali leo hii inageuka fadhila? Halafu huyu anaesema haya ni mtu mwenye LL.b hahahah...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kaka ogopa sana kitu njaa na kujipendekeza yaani inatia hasira sana, usije ukashangaa upepo ukibadilika hawa hawa ndio wa kwanza kusifia haki, huyo jamaa pasikali kaendekeza sana njaa.
 
.mkuu, umetema madi tupu!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Ni ujinga na udwanzi kusema asante Magufuli eti kwa sabau umepita juu ya daraja la Ubungo. Magufuli ni mtumishi wetu, sisi ndiyo tumemuajiri kwa kura zetu za 2015 ili asimamie makusanyo na matumizi ya kodi zetu.

Acha kupotosha watu kwa ajili ya cheo
 
Kama katoa hela zake mfukoni hapo sawa. punguza upambe bro. utakuja kupewa utendaji kata badala ya uDC.
Pascal alikuwa very objective siku za nyuma sasa ni very subjective. Mke ananunuliwa kitenge anashangilia anasahau kejeli masimango na vipigo.
Ajadili suala la haki na uhuru kwanza!

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Ebu use your brain kaka, sio fadhila ni wajibu wa serekali kuleta maendeleo. Lakini interchange iko wapi? Dar, na sio Songea wala Kigoma, haipo Mtwara.

Pili, every president will play his role ya kujenga hili Taifa, maendeleo bila haki na Uhuru sio kabisa. Huyu Magufuli ni mnyantasaji kweli, hafai. Tushamchoka na hata wewe ulushamchoka, epuka ushabiki wa njaa zako hapa.
 
Kodi nitoe mimi halafu nimshukuru mtu mwingine? Uzwazwa gani huu? Zaidi zaidi hapo yawezekana kwa asilimia kubwa katupiga cha juu hovyo kabisa.
Nawewe bwana njaa shida tupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…