Themagufulianz
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 4,548
- 1,988
Tupe mlolongo mzima Mpaka unauza parachichi zako
Then tutajua unapata faida au hasara
Inaumiza sana kuona wasomi wetu wamekuwa mazuzu wa kiwango hiki, wanalishwa nini hawa?Yani majukumu ya serikali leo hii inageuka fadhila? Halafu huyu anaesema haya ni mtu mwenye LL.b hahahah...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hii ni thinking ya watu wajinga na wazembe wasiopenda kushughulisha vichwa vyao.na ccm inawawezea sana watu wa aina yakoJPM kapiga kazi ya maana na kimaadili ni kiongozi bora kuliko Lissu kwa mara elfu kumi.
Lissu anamkejeli Mwalimu Nyerere asiyeweza kujitetea halafu anakwenda kutembelea Butiama.
Lissu anawatukana polisi akiwa jukwaani halafu akishuka chini ni hao hao wanaomlinda!!.
For your information, hiyo exchange imejengwa kwa mkopo wa WB na hatujaanza kuulipa,kesho ukipita tena soma vibao vinajieleza,who is financing that project,ila magu mshukuru kwa kupeperusha mkeka wa njia sita toka ubungo kwenda chalinze,kubomoa jengo la Tanesco na kubadilisha ramani ya hiyo interchange. HUYO MUZEE WENU NI MUHARIBIFU SANANaomba sababu tatu tu, kwanini nisiseme ahsante walipa kodi watiifu niseme ahsante Magufuli ambaye tumemtuma asimamie vizuri fedha zetu ili zilete maendeleo kama hayo!?
Kwa hiyo atalipa kwa pesa za mfukoni kwake?For your information, hiyo exchange imejengwa kwa mkopo wa WB na hatujaanza kuulipa,kesho ukipita tena soma vibao vinajieleza,who is financing that project,ila magu mshukuru kwa kupeperusha mkeka wa njia sita toka ubungo kwenda chalinze,kubomoa jengo la Tanesco na kubadilisha ramani ya hiyo interchange. HUYO MUZEE WENU NI MUHARIBIFU SANA
Unaniuliza mimi au Pascal?Kwa hiyo atalipa kwa pesa za mfukoni kwake?
Hata baada ya kueleweshwa tabia za ujinga, hukubaini nafanya nini zaidi.Nimekuwa nikisema mara nyingi. Mtu anakosa hoja. Lakini kwa ajili ya chuki tu anaona ingawa aishie kwa kukashifu. Kama tuyasemayo ni ujinga, basi wewe tujuze werevu wako. Hiyo ndiyo itadhihirisha ujinga wetu.
Kwa kweli uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana. Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba mpaka matatizo ya barabara nchi yote yaishe ndio interchange zijengwe Dar es Salaam? Watu wengine shuleni mlikuwa mnakwenda kusomea ujinga tupu. Upinzani nchi hii umeshajifia kitambo wamebaki waganga njaa tu ambao hawanasera yoyote ya maana zaidi ya kukosoa kosoa tu.Ni kweli kabisa wale wote waliokuwa wanakwama kwenye foleni inabidi washukuru. Lakini hawa ni wachache mno katika jamii nzima ya watanzania.
Ni vigumu sana kumshawishi mtu wa Tandahimba ashukuru kwa sababu kuna interchange ya kileo Ubungo wakati yeye barabara kwenda kijijini kwake au Mtwara haipitiki. Itakuwa unamtonesha kidonda.
Amandla...