Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

kama uko serious kujifunza nicheki inbox
Ila kama unataka ku prove wewe baki mjini uzidi kumkasirikia Magu.... baada ya kupigika kwa kukosa dili

Viva Magu 2020 to 2030
Tupe mlolongo mzima Mpaka unauza parachichi zako

Then tutajua unapata faida au hasara
 
Kushukuru ndio ada ya muungwana.Tungependa na sisi huku Kawe lami ziwe nying mana jimbo letu lipo nyuma sana.ni siskitiko sana
 
Nimependa Makala yako Uliyoandika. Haipunguzii Mtu chochote akishukuru kwa kupata maendeleo kotaka hatua moja kwenda nyingine binafsi naona umeandika Vema.
 
Yani majukumu ya serikali leo hii inageuka fadhila? Halafu huyu anaesema haya ni mtu mwenye LL.b hahahah...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inaumiza sana kuona wasomi wetu wamekuwa mazuzu wa kiwango hiki, wanalishwa nini hawa?
 
Wakati daraja la Manzese lilipojengwa mimi nilikuwa ninaishi Magomeni, tulikuwa tunaenda pale juu roho zetu zinakuwa kwatu! Hivi Paskali unafikiri bila Magufuli hiyo interchange ya Ubungo isingejengwa? Na unataka kudanganya hapa kuwa hiyo interchange ni mambo ya Magufuli? Bro najua na wewe una tumbo, lakini nenda taratibu, akina Dk. Bana walienda taratibu, hawakufanya haraka kama yako!....
 
Paskali mbona unajishushia heshima hivyo? Niambie effort ya magufuli kwenye hiyo interchange zaidi ya kubadilisha ramani yake na kuvunja jengo la Tabasco ni ninj? But I also think that,this is to low for a person of your caliber
 
JPM kapiga kazi ya maana na kimaadili ni kiongozi bora kuliko Lissu kwa mara elfu kumi.

Lissu anamkejeli Mwalimu Nyerere asiyeweza kujitetea halafu anakwenda kutembelea Butiama.

Lissu anawatukana polisi akiwa jukwaani halafu akishuka chini ni hao hao wanaomlinda!!.
Hii ni thinking ya watu wajinga na wazembe wasiopenda kushughulisha vichwa vyao.na ccm inawawezea sana watu wa aina yako
 
Naomba sababu tatu tu, kwanini nisiseme ahsante walipa kodi watiifu niseme ahsante Magufuli ambaye tumemtuma asimamie vizuri fedha zetu ili zilete maendeleo kama hayo!?
For your information, hiyo exchange imejengwa kwa mkopo wa WB na hatujaanza kuulipa,kesho ukipita tena soma vibao vinajieleza,who is financing that project,ila magu mshukuru kwa kupeperusha mkeka wa njia sita toka ubungo kwenda chalinze,kubomoa jengo la Tanesco na kubadilisha ramani ya hiyo interchange. HUYO MUZEE WENU NI MUHARIBIFU SANA
 
For your information, hiyo exchange imejengwa kwa mkopo wa WB na hatujaanza kuulipa,kesho ukipita tena soma vibao vinajieleza,who is financing that project,ila magu mshukuru kwa kupeperusha mkeka wa njia sita toka ubungo kwenda chalinze,kubomoa jengo la Tanesco na kubadilisha ramani ya hiyo interchange. HUYO MUZEE WENU NI MUHARIBIFU SANA
Kwa hiyo atalipa kwa pesa za mfukoni kwake?
 
Naona uliweka post kuona hali halisi ya kuwa watu wanasemaje! Mwenye macho haambiwi tazama replies zimejionesha maoni ya wengi ni yapi!
 
Nimekuwa nikisema mara nyingi. Mtu anakosa hoja. Lakini kwa ajili ya chuki tu anaona ingawa aishie kwa kukashifu. Kama tuyasemayo ni ujinga, basi wewe tujuze werevu wako. Hiyo ndiyo itadhihirisha ujinga wetu.
Hata baada ya kueleweshwa tabia za ujinga, hukubaini nafanya nini zaidi.
 
Sidhan kama nitasema ahsante kwa MTU aliyetimiza wajibu wake...Nazidi kukushangaa mkuu ila SI MBAYA KWA SIASA TULIZONAZO KUTOA SIFA NI KIGEZO CHA KUONWA UKATUNUKIWA
 
Tukana weeeeeee lakini mwisho wa siku Magufuli ndiye Rais wa JMT 2020-2025 kama humtaki hama nchi japo kwa muda mpaka hapo atakapoingia rais mwingine wa awamu ya sita kutoka chama cha mapinduzi!
 
Ni kweli kabisa wale wote waliokuwa wanakwama kwenye foleni inabidi washukuru. Lakini hawa ni wachache mno katika jamii nzima ya watanzania.

Ni vigumu sana kumshawishi mtu wa Tandahimba ashukuru kwa sababu kuna interchange ya kileo Ubungo wakati yeye barabara kwenda kijijini kwake au Mtwara haipitiki. Itakuwa unamtonesha kidonda.

Amandla...
Kwa kweli uwezo wako wa kufikiria ni mdogo sana. Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba mpaka matatizo ya barabara nchi yote yaishe ndio interchange zijengwe Dar es Salaam? Watu wengine shuleni mlikuwa mnakwenda kusomea ujinga tupu. Upinzani nchi hii umeshajifia kitambo wamebaki waganga njaa tu ambao hawanasera yoyote ya maana zaidi ya kukosoa kosoa tu.
 
Kweli maendeleo yanaweza kuwepo huko Dar
Sisi huku Singida jimbo la muheshimiwa fulani hatuna maji, umeme , barabara za kueleweka na kituo cha afya toka nchi ilipopata uhuru.
Sasa hapa nako tushukuru?
 
Lissu na yule askofu uchwara wamepita hapo kuelekea Kibaha lakini bado tu wanajifanywa vichwa maji.
 
Back
Top Bottom