Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

naomba link ya insta ya bosi huyo alivyosema
 
Mafanikio ya waziri ni mafanikio ya rais aliyeko madarakani, maana waziri ni tarishi wa rais
Umesema vema, waziri anatekeleza nini boss anataka. Na failure ya waziri kama wale wengine ambao hawakuwa na cha kuonesha, bila shaka it goes without saying.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…