Boss wa CRDB wa sasa kupitia ukurasa wake wa instagram, salam za pongezi sivyo kama Paskali uonavyo.
Kuna shida gani kwa Watanzania kushindwa ku-acknowledge kazi ambayo mtu kaiasisi na kuhakikisha ina-take shape kwa asilimia za kutosha.
Mathalani, Kagamboni Bridge au Nyerere bridge japi imekamilika na kuzinduliwa na JPM ni landmark ya JK.
Mloganzila Hospital ni landmark ya JK japo imeanza kutumika enzi ya JPM. Kuna nyakati watu wanakuwa tabia za uchawa, kujipendekeza mpaka wanapoza heshima ambayo wameijenga kwenye jamii.