Valuhwanoswela
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 1,229
- 1,125
Paskali, Paskali ukiona huteuliwi pamoja na kuwa na sifa zote na kuunga mkono juhudi ujue wewe mwenyewe una tatizo ni vizuri ukajirekabisha au ukabadili mbinu lakini sanasana ungengoja mpaka baada ya Uchaguzi na achaguliwe ndio usifie maana kuna wagombea wengine 15.
Miradi mingi, ikiwa ni pamoja na Ubungo Flyover, Mfugale, Salender Bridge, ni miradi ya Awamu za nyuma iliyoanza au iliyokamilika Awamu ya Tano kama itakavyokuwa miradi ya SGR, Stiegler's Gorge na mingine ambayo itakamilika (hopefully) Awamu ya Saba. Ubungo na TAZARA Flyovers ni madaraja juu ya barabara tu siyo interchange kama mshamba Mayalla (Njaa) anavyokuza na kusifia.
Hata madege yatabaki an eyesore kwa watu wa Dar mpaka yatakapohamishiwa kwenye mapumziko yao ya milele kule homeport yakikamilika. Give credit where it is due!