Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

Wanabodi

Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?....
Sawa kabisa usemayo.
 
Chadema ruzuku Yao ni Milion 250, ccm no BILIONI +

zote ni pesa za wananchi, hizo mil 250 mpaka leo hatujui znafanyia nn icho chama! bora ata ccm hata kama wanatumia kuhonga unaona kabisa wamehonga wap, wamemchukua harmonize pale, diamond alikiba, wakabeba kruza yaani makoro ro kibao sasa nyie hata inapoelekea haijulikan
 
Pesa nu toka ktk account yake??
 
Huu ni ulafi na ubinafsi wa watu weusi...mara zote wanajivisha umimi sasa katika mambo yanayo tendwa na umma au kodi za umma.
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?....
Kweli tuishukuru CCM na Magufuli.
 

Attachments

  • 691CA613-0F17-4B1E-AACA-C4267468933A.jpeg
    23.3 KB · Views: 2
Ujinga una gharama nafuu kwa sababu haupimi madhara,. Hata ujue umeathirika sio mjinga tena, watanzania wamechagua kutojua kama wameathirika ili kubainisha UJINGA WAO
Nimekuwa nikisema mara nyingi. Mtu anakosa hoja. Lakini kwa ajili ya chuki tu anaona ingawa aishie kwa kukashifu. Kama tuyasemayo ni ujinga, basi wewe tujuze werevu wako. Hiyo ndiyo itadhihirisha ujinga wetu.
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?....
Mkuu sawa ila mungu anakuona , tulipofikia mda huu na saa au dakika hii tunaangalia taifa kwanza Mambo mengine badae,si mda kuzungumzia ujenzi ,Kama jpm akipita sawa yatajengwa na mengine na mengine au akipa mwingine ataelewa lipi muhimu.
Kwanza amani ya taifa letu ndo kipaumbele Mambo kwa sasabinafsi naona kunasehem hayako sawa
 
Usitake kuniambia kuwa mawizara hayana mpango endelevu katika kuboresha nchi
Nahitaji kujiheshimu mie na watu wengine pia
Yangewezekana yote hata asingekwepo
Yamefanyika na yatafanyika makubwa kumshinda

Msitulazimishe kuwa na fikra dhaifu
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?...
Bora ya nyie mnapita kwenye flyover iyo,,,Site huku tunapita kwenye mabonde barabara hatuna hapa tunawaza mvua zikianza tutapita wapi?
Mana sahiz Kuna sehemu tunapita tunatamani hata kubeba gari kichwani.
Hongereni kwenu.
Pole kwetu sisi.
Sio sote tunakaa dar.
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?..
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Unamlinganishaje rais na LISSU?
 
Naona hujakata tamaa kupata u DC. Pambana.
Wapo wengi humu wanapayuka kwahiyo tuseme asante kwa kodi zetu wenyewe hizi flyovers ni washamba wasiotembea wakaona dunia ndiyo wanaona vitu vya ajabu, miaka 60 leo toka uhuru sisi ndiyo tunapata kuona hapa kwetu halafu eti tushangilie tuseme asante wakati zilitakiwa kuwepo mikoa yote kwa miaka chama kiliyokaa, madarakani hebu tuheshimiane aisee.
 
Uchaguzi huu CHADEMA wameshashindwa kwa mara nyingine. Wajipange upya kwa ajili ya uchaguzi wa 2025.
 
Wanabodi

Hili ni bandiko la swali, Jee ukitendewa wema, unatoa shukrani? Jee Sisi Watanzania ni watu wa shukrani?. Kwa wema wote tuliofanyiwa na serikali ya awamu ya 5 katika kutuletea maendeleo, tarehe 28 October tutatoa shukrani au?...

Mkuu acha ushamba wa vitu, 2019 Magufuli alienda Lilongwe city kumuunga mkono Rais wa Malawi Peter Mutharika kwenye uchaguzi mkuu kama kawaida yake vile alienda kumuunga kipenzi chake Kenya Odinga. Matokeo yake kwa hawa majamaa zake aliwa-endorse nna uhakika uliyapata.

Point of correction mandeleo hayaletwi na Rais lakini anasimamia tuu. Mutharika pia amesimamia hicho kitu(interchange) check pic chini but raia wa Malawi hawakujali maendeleo ya vitu now Muntharika is fired as president yupo kijijini.Sasa wewe mtia nia ya ubunge umeanza kuchosha kwerikweri.After all everyone has right to vote stop to mislead electorates waache wafanye informed decision whom should they vote for.


Area 18 interchange Lilongwe.....

 
Ukiangalia vzuri structure ya hizo interchange ulizoziweka zinatofautiana...Je hizo zote zimejengwa Malawi?
 
Ukiangalia vzuri structure ya hizo interchange ulizoziweka zinatofautiana...Je hizo zote zimejengwa Malawi?
Nitofauti kwasababu hapo ni different levels za project progress unless upo myopic...Kwanza habari ni ya interchange sio design au ubora....just like Mkapa stadium nisawa na Levy Mwanawasa Stadium au Bingu National Stadium I doubt exactly what do you want au unataka kusema Muntharika alipigwa chini nawapigwa kura kwasababu hakujenga interchange kama ya Ubungo??? try to be logic man
 
Huwa namuona paskali kama mtu wa vijembe vijembe na masimango. Lakini kwa uzi huu nimeamini njaa haina baunsa, vipi walikurudishia ile nauli yako uliyoitumia kwenda Dodoma kwa Ndugai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…