Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichoandika ni ukweli japo ametumia lugha kali sana!Umeandika hisia (feeling) zaidi kuliko fact.
This is the best country admired by many.
Nchi yenye democrasia na amani .
Watu wake ni werevu na watulivu. Wana Utulivu wa ndani.
Sasa hayo ya kwako ni upuuzi endeleeni kutukana watu kama vile nyie ndio wenye hati miliki ya akili .
Asee nchi hii ina WAJINGA WENGI halafu hakuna dalili yakupunguaYani majukumu ya serikali leo hii inageuka fadhila? Halafu huyu anaesema haya ni mtu mwenye LL.b hahahah...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Lisu na yule askofu uchwara wamepita hapo kuelekea Kibaha lakini bado tu wanajifanywa vichwa maji.
Hahahaaa, wanapaswa kutwambia sasa kipya walichogundua, ili wote tufahamu kwamba kumbe yale waliyoyapigia kelele si muhimu tena, na sisi tutapima ugunduzi wao kama ni wenye manufaa kwa vizazi vya sasa na baadaye...Elimu na usomi ni endelevu. Elimu haina mwisho.
Kwenye tafiti kuna ugunduzi mpya na uvumbuzi wa kitu tofauti hilo linakubalika.
Yawezekana wamegundua kitu tofauti