JamiiCheck
JF-Expert Member
- Nov 3, 2023
- 245
- 267
Uhalisia wa video hiyo
JamiiCheck imehakiki video hiyo na kubaini kuwa imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde.
Ufuatiliaji umebaini kuwa video hiyo ina matukio yanayokosa uhalisia ambayo yanadhihirirsha kuwa si video halisi.
Mathalani tukio la duma mdogo aliyenyanyuliwa juu na kubadilika kuwa kiumbe kingine. Rejelea pia tukio la Tai kung'atwa shingo lakini hakuna alama yoyote ya makovu ama damu ingawa manyoya yake ya shingoni ni meupe.
Aidha Tai huyo mwenye kichwa (Bald Eagle) cheupe asili yake siyo barani Afrika bali ni Tai mashuhuri huko Amerika ya Kusini hivyo kuhusianisha tukio hilo na bara la Afrika pia ni upotoshaji.
Yes mkuu bonge moja la ndegeDAH NGUMU SANA ILA ukubwa WA HUYO ndege umenipa mashaka ni MKUBWA SANA HII naamini ni AI
Nafikiri inaweza kuwa imetengenezwa kwa AI mana ni kama huyo Chita mdogo alivyobebwa alipofika juu ni kama amebadilikaMdau
Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde?
Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa tukio hilo limetokea Afrika. Kipande cha video ambacho kimeibua maswali mengi kwa waliyoiona kuhoji uhalisia wake.
Tushirikishe vigezo ama nyenzo ulizotumia kubaini uhalisia.
View attachment 3411951
Safi 👏Background imebadilika magari yalikuwa sehemu ya wazi mwanzo mbeleni kukaonekana Kuna miti.
Pia background imecheza yaani imekuwa inayumba kama mawimbi ya bahari.
Tai anauwawa huku akiwa katulia tuli kama mdoli sekunde za mwishoni hapo.
Magari yamebadilika idadi na rangi za magari tofauti kati ya mwanzo na mwisho.
Sababu ya 🦅 kuanguka ni kaanguka mwenyewe huyo kaja kuvamia baadaye
Safi👏ni AI kwa sababu zifuatazo!
kwanza chui hawezi pita maeneo ya wazi hivyo anakuwa insecure
pili Kunguru hao hiwa wanasogea kama kuna nyama na hapo chui hata alama ya kuua na kuacha damu haijaonekana
Tatu chui mtoto aliyebebwa na Tai ghafla ameonekana ametulia pembeni kwa amani halafu amekuwa mkubwa kwa size ambayo hawezi bebwa na huyo ndege
ni ngumu sana kwa binadamu kuwa nje ya magari hivyo sehemu ambayo huyo chui yupo aggressive hivyo!
👏👏DAH NGUMU SANA ILA ukubwa WA HUYO ndege umenipa mashaka ni MKUBWA SANA HII naamini ni AI
Imenifikirisha kama walimanisha tai basi SIO KWELI wame mkoseaYes mkuu bonge moja la ndege
Safi 👏Video inaanza chui hadili na alipo ndege bali anadili na atakapoenda, AI
Safi 👏Kitu mojawapo ninachokizingatia ili kujua picha au video imetengenezwa kwa Ai ni kwa kuangalia background ya eneo husika pamoja na kuangalia mambo mengine ambayo hayapo kwenye main target YA picha/video husika.
Kwa kuzingatia hilo, naomba niseme hy video imetengenezwa kwa Ai
😂ImekushtuaArdhi inacheza
Sio kunishtua tu nildhan kihama imeanzia Serengeti 😂😂 kabla ya kugundua kuwa ni AI😂Imekushtua