Je, unaweza kutambua video zilizotengenezwa kwa AI? Shiriki kuthibitisha video hii

Je, unaweza kutambua video zilizotengenezwa kwa AI? Shiriki kuthibitisha video hii

kwanza namna huyo mtoto wa chita alivochukuliwa, ni kama vile amekutwa tu hewani akachukuliwa.

pia alitulia kama vile amekufa akiwa juu na alionekana mwepesi saana ila baada ya huyo ndege kudondoka ametulia kama hakuna kilichotokea.

alafu namna huyo ndege alivokufa, yaan vurugu la sekunde tu amenyoka.
lakini pia kabanwa shingoni lakin hamna damu sio Kwa ndege Wala Kwa huyo chita.

kurupushani zote ndege hachomoka hata unyoya.

hii inathibitisha kuwa imetengenezwa na AI
 
Mdau

Je, unaweza kutofautisha video halisi dhidi ya zile zilizotengenezwa kwa Teknolojia ya Akili Unde?

Mtu mmoja alichapisha video hii hapa chini katika mtandao wake wa kijamii na kueleza kuwa tukio hilo limetokea Afrika. Kipande cha video ambacho kimeibua maswali mengi kwa waliyoiona kuhoji uhalisia wake.

Tushirikishe vigezo ama nyenzo ulizotumia kubaini uhalisia.
View attachment 3411951
AI kabisa hii hasa vivuli vya wanyama na binadamu vinaonyesha hilo. Cha ajabu ikipostiwa Facebook huko inakuta comments 10k na zote zinaamini.

Ni hatari sana huko tuendako
 
ni AI kwa sababu zifuatazo!
kwanza chui hawezi pita maeneo ya wazi hivyo anakuwa insecure
pili Kunguru hao hiwa wanasogea kama kuna nyama na hapo chui hata alama ya kuua na kuacha damu haijaonekana

Tatu chui mtoto aliyebebwa na Tai ghafla ameonekana ametulia pembeni kwa amani halafu amekuwa mkubwa kwa size ambayo hawezi bebwa na huyo ndege

ni ngumu sana kwa binadamu kuwa nje ya magari hivyo sehemu ambayo huyo chui yupo aggressive hivyo!
Nakubaliana na wewe, it's AI but huyo sio chui ni cheetah
 
Ukitaka kutambua AI pictures and videos wewe dili na vitu vya mbali achana,na main target!!!

Background
Wapita njia
Sura za mbali
Nk
 
kwanza namna huyo mtoto wa chita alivochukuliwa, ni kama vile amekutwa tu hewani akachukuliwa.

pia alitulia kama vile amekufa akiwa juu na alionekana mwepesi saana ila baada ya huyo ndege kudondoka ametulia kama hakuna kilichotokea.

alafu namna huyo ndege alivokufa, yaan vurugu la sekunde tu amenyoka.
lakini pia kabanwa shingoni lakin hamna damu sio Kwa ndege Wala Kwa huyo chita.

kurupushani zote ndege hachomoka hata unyoya.

hii inathibitisha kuwa imetengenezwa na AI
Safi👏
 
Hii imetengenezwa! Huyo ndege ni mkubwa mno na Duma amekuwa mdogo mno. Pia hao kunguru ni vigumu kuwepo kwenye purukushani kama hiyo!
 
DAH NGUMU SANA ILA ukubwa WA HUYO ndege umenipa mashaka ni MKUBWA SANA HII naamini ni AI
Ni fumbo hilo amelitengeneza na AI inaoanekana tu hivi ukiangalia eti tai (USA) kalala aliwe shingo na Chui (Chief Hangaya) acheni uongo basi
 
Ni fumbo hilo amelitengeneza na AI inaoanekana tu hivi ukiangalia eti tai (USA) kalala aliwe shingo na Chui (Chief Hangaya) acheni uongo basi
Tai MKUBWA SANA halafu apambani kalala TU HIVI ni tai ninae mjua au ni species nyingine
 
Video imetengenezwa na AI
Kwanza mwanzo video inaonyesha Kuna wanyama wawili Duma na katoto baada ya huyo Eagle 🦅 kushindwa kumbeba mtoto ghafra anaongezeka #Eagle mwingine na kufanya wafike wanyama watatu

Pili huyo mtoto anaye nyanyuliwa ni mtoto wa Simba sio mtoto wa Eagle

Tatu Ukubwa wa Eagle, katika video Eagle amefanywa kuwa mkubwa kupita kiasi.
Nne Background inaonyesha kuto kuwa real kwasababu ya walioko background ya video hawajihusishi kabisa na tukio either kwa kushangaa au kwa kufurahia
 
Safi 👏
 
Uhalisia wa video hiyo

JamiiCheck imehakiki video hiyo na kubaini kuwa imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde.

Ufuatiliaji umebaini kuwa video hiyo ina matukio yanayokosa uhalisia ambayo yanadhihirirsha kuwa si video halisi.

Mathalani tukio la duma mdogo aliyenyanyuliwa juu na kubadilika kuwa kiumbe kingine. Rejelea pia tukio la Tai kung'atwa shingo lakini hakuna alama yoyote ya makovu ama damu ingawa manyoya yake ya shingoni ni meupe.

Aidha Tai huyo mwenye kichwa (Bald Eagle) cheupe asili yake siyo barani Afrika bali ni Tai mashuhuri huko Amerika ya Kusini hivyo kuhusianisha tukio hilo na bara la Afrika pia ni upotoshaji.
 
---
Prompt niliyotumia hii hapa: Click spoiler.
{
"version": "veo-3",
"seed": 123456,
"output": {
"duration_seconds": 8,
"aspect_ratio": "16:9",
"fps": 24,
"format": "mp4"
},
"style": {
"look": "cinematic realism",
"color_grade": "Kodak 2383 film print emulation, soft highlight rolloff",
"contrast": "moderate",
"film_grain": "fine",
"sharpness": "medium-high",
"white_balance": "neutral daylight",
"hdr": "HDR10"
},
"meta_tokens": {
"REALISM_TOKENS": [
"photometric_consistency",
"physical_shutter_motion_blur_180deg",
"global_illumination_accuracy",
"skin_subsurface_scatter_on",
"microcontrast_preservation"
],
"CAM_SIM": [
"ARRI_ALEXA_35_sensor_profile",
"Sony_VENICE_2_dynamic_range",
"IMAX_65mm_temporal_response",
"Cooke_S4_character_microflare",
"Zeiss_SupremePrime_edge_performance"
],
"CINEMA_TONE": [
"ACEScg_pipeline",
"Kodak_2383_LUT",
"soft_rolloff_highlights",
"rich_shadow_color",
"anamorphic_2x_character"
]
},
"camera_rig": {
"body": "ARRI ALEXA 35",
"lens": "Cooke Anamorphic/i SF 50mm T2.3",
"filtration": "1/8 Black Pro-Mist",
"focal_length_mm": 50,
"aperture": "T2.8",
"shutter_angle_deg": 180,
"stabilization": "dolly + 3-axis head"
},
"guidance": {
"adherence": "strict",
"no_softeners": true,
"reduce_ambiguity": true
},
"safety": {
"avoid": [
"recognizable license plates",
"brand logos",
"watermarks",
"graphic violence"
]
},
"assets": {
"reference_images": [],
"reference_video": [],
"luts": ["Kodak_2383_print_emulation"]
},
"negative_prompt": "subtitles, captions, on-screen text, logos, watermarks, low-resolution artifacts, unstable jitter, harsh aliasing, excessive motion blur, flicker",
"subject": "Defined protagonist with consistent identity and wardrobe continuity appropriate to the idea and setting.",
"camera_position": "Eye-level, three feet to the subject’s right, slight 3/4 profile (that's where the camera is).",
"location": "Real-world environment that naturally supports the idea’s context and time of day; practical lighting motivated by sources in-frame.",
"action": "Primary beat executed clearly, then a brief reaction beat to resolve the moment.",
"visual_style_and_lighting": "Cinematic realism with soft key, motivated practicals, gentle edge light, controlled contrast, volumetric atmosphere when appropriate.",
"movement_quality": "Natural and deliberate with subtle micro-movements for lifelike presence.",
"camera_motion_and_composition": "Slow dolly-in, rule-of-thirds framing, shallow depth of field, foreground parallax for depth, clean leading lines.",
"audio_elements": "Diegetic ambience appropriate to location, detailed foley, and a restrained cinematic underscore mixed under dialogue and key SFX.",
"ambiance_or_mood": "Mood aligned to the idea’s intent (contemplative, uplifting, tense, or playful) without melodrama.",
"final_prompt": "Defined protagonist with consistent identity and wardrobe continuity appropriate to the idea and setting, captured from eye-level three feet to the subject’s right in slight 3/4 profile (that's where the camera is), in a real-world environment that supports the context and time of day; performs a clear primary beat then a brief reaction beat. Cinematic realism with Kodak 2383 color, soft highlight rolloff, fine film grain, and motivated practical lighting; natural, deliberate movement. Slow dolly-in with rule-of-thirds composition, shallow depth of field, and foreground parallax for depth. Diegetic ambience, precise foley, and restrained cinematic underscore mixed beneath the scene’s action. Mood matches the idea’s intent. No subtitles, no text overlay. A man in his late 20s, wearing athletic gear, runs with focused determination along a deserted city street at dawn. The street is wet from a recent rain, reflecting the early morning light as steam rises from the pavement. His breath is visible in the cool air. The mood is one of intense focus and solitude."
}
 
View attachment 3439938

Hivi Mwl.RCT hizi TV/screen (nadhani ni foldable) kuubwa zinawekwa kwenye maonesho ya wazi na makanisani (makanisa ya manabii na mitume);
1. Zinafanyaje kazi (connection mpaka video itokee kwenye mgu-screen
2. Bei zake, nazo zina zinatofautiana inches??
 
Back
Top Bottom