TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,087
- 3,156
Case study.
Chukulia wewe ni kijana wa familia flani ambayo Mama wa familia ni Mama yako mzazi Baba ni wakufikia unasoma na huishi hapo Home unarudi mara Chache.
Hapo Home mna beki tatu moja matata Sana, mali safi toka tanga anatokea kukupenda ila anashindwa kukwambia sababu ya u serious kiasi kwamba akilala hata mchana anaweweseka,bimkubwa analigundua hilo sema anabana Space.
Binti anaamua kumueleza shangazi yako, na shangazi anamuahidi atakwambia ila anaendae taratibu.
Mzee wako anaanza kumpanga beki tatu lakini anachomoa mara zote, anamueleza dada wa mshua (shangazi), ila anachuna, binti anaendelea kurushiwa nyavu lakini anachomoa, mwisho anaamua kumueleza bimkubwa wako(kijasho kinamshuka), baadae binti anaamua kuacha kazi kujinasua.
Miaka kadhaa inapita, binti anakutafuta baada yakutafuta Sana namba zako, anafunguka, nawe muda huo unauhitaji wakupata mke wa kuoa, na kwasababu aliwahi ishi kwenu unamuelewa kitu si haba, ila unajua kabisa mshua alirusha kamba, na bimkubwa aliambiwa.
Ukiamua kumuoa je utaweza kumtambulisha Home na wazazi wakakuelewa? Au utafanya nini?