bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Popote TU unatoboa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatoboaje kwenye sehemu isiyo na mzungukoPopote TU unatoboa
Nimeshatembea mikoa ambayo unajiuliza wafanyabiashara wanafanyaje? Mfano kigoma duka lipo town kati kodi yake ni 1 million kwa mwaka, asubuhi mpaka jioni wateja wa kutafuta. Sasa hapo kuna kutoboa au kupoteza muda tuKwangu mimi mkoani ni kutafutia na Dar ni kutumia.
Naamini nje ya Dar options zipo
Mikoani fursa nimeona zipo za usafirishaji, udalali wa mazao, kilimo na ubaya zaidi ni kwamba ni kama ni saresare hizi fursaNimeshatembea mikoa ambayo unajiuliza wafanyabiashara wanafanyaje? Mfano kigoma duka lipo town kati kodi yake ni 1 million kwa mwaka, asubuhi mpaka jioni wateja wa kutafuta. Sasa hapo kuna kutoboa au kupoteza muda tu
Kwani hakuna ardhi,maji,madini,mifugo huko usitoboeSio kakonko.
Hii ni nzuri maana ni mfano halisia.Kijana kama una akili bora Ubuni biashara ukatawala baadhi ya miji nje ya miji mikubwa kama wakima Aboud ...Mapapa wa Dar wanajulikana sana ila sehemu nje ya mji kun vijana sio wa mtandao wapo wana progress nzuri...kuna mwanagu anapiga ishu za kuzalisha tambi na unga wa ngano alihama town yupo wilayani huko Muheza anakula pesa kajenga huko huko..
Yeye anasema mjini competition ni kubwa..Usichokijua jamaa anauza mpaka mikoani ikiwa yeye yupo Muheza ndan huko
. Kikubwa ni brand biashara unauza popote kama ni hivi viduka njaa vya Mangi & Mgosi hata Dar havilipi.
Biashara ni neno pana, mleta mada kazingatia uchuuzi tu.Kijana kama una akili bora Ubuni biashara ukatawala baadhi ya miji nje ya miji mikubwa kama wakima Aboud ...Mapapa wa Dar wanajulikana sana ila sehemu nje ya mji kun vijana sio wa mtandao wapo wana progress nzuri...kuna mwanagu anapiga ishu za kuzalisha tambi na unga wa ngano alihama town yupo wilayani huko Muheza anakula pesa kajenga huko huko..
Yeye anasema mjini competition ni kubwa..Usichokijua jamaa anauza mpaka mikoani ikiwa yeye yupo Muheza ndan huko
. Kikubwa ni brand biashara unauza popote kama ni hivi viduka njaa vya Mangi & Mgosi hata Dar havilipi.
Nina ndugu yangu mwaka 2017 alikuwa na mtaji wa millioni 20 leo ana almost 300 millioni na yupo mkoa wa geitaTokea nizaliwe sijawai kusikia mtu anatoka mjini anaenda kutafuta maisha kigoma, sumbawanga, Gairo, Mara, Ruvuma, Mtwara, Singida n.k.
Simaanishi kwamba hakuna watu wenye pesa lakini naona kama huko mikoa ya pembezoni nguvu ya kuweza kuinua mtaji wa Kwa Kasi na kukua sio jambo jepesi ni kimbembe, nilifanikiwa kwenda maeneo kama kakonko, kibondo, Bariadi, Gairo, chemba, Bahi, Ruangwa, Songea, same, Mwanga na maeneo mengine ya vijijini, kwanza kila ndoto ya wakazi wa huko wanawaza kwenda daresalam na Mwanza kutafuta maisha.
Daresalam linabaki kama jiji muhimu sana kwa mtu kwenda kutafuta kipato kwa sababu ya mzunguko uliopo, ukiwa na mtaji, nidhamu,Mungu basi kwa mtaji wa million 5-10 unatosha kabisa kua wa tofauti kwa muda wa miaka 2 tu.
Lakini hata ukiwa na mtaji wa hiyo million 5-10 huko mikoani unaweza kukosa Cha kufanya maana unaweza anzisha biashara na ukakosa pia wateja.
Huko vijijini ni ngumu Sana kupata kijana mwenye pesa, mfano tokea alipoanza kuhustle mpaka kua na assets yoyote ya maana sio rahisi Kwa muda wa miaka 5, lakini Kwa daresalam mtu mwenye mtaji miaka 5 ni mingi sana lazima atakua na asset za maana na zinazoonekana, matajiri wengi huko mikoani na vijijini ni wazee.
Hivi mawazo yangu yapo sahii? Huko mikoani mtu anaweza kutoboa Kama ilivyo kwenye miji mikubwa?
Mkuu, nifungulie nipate elimu pana kidogo tofauti na huo huo uchuuzi wa kuchukua bidhaa kariakoo na kusalia kuuza bei za juu kuna kipi utakifanya mkoani hasa vijijini kwa mtaji wa million 5-10.Biashara ni neno pana, mleta mada kazingatia uchuuzi tu.
Lakini mkoani panalipa sana.
Kilimo ni biasharaMkuu, nifungulie nipate elimu pana kidogo tofauti na huo huo uchuuzi wa kuchukua bidhaa kariakoo na kusalia kuuza bei za juu kuna kipi utakifanya mkoani hasa vijijini kwa mtaji wa million 5-10.
Sawa mkuu, nimekuelewaKilimo ni biashara
Ufugaji ni biashara
Uvuvi ni biashara.
Kama una mtaji unaweza fungua kiwanda kidogo ukazalisha bidhaa yoyote na ukaiuza mjini
Mfano pale ikwirir, pwani kuna kiwanda cha yoghurts na soko lao lipo dar
Hajui kila mkoa una sifa yake na biashara zake muhimu ...Geita huko Madini ,Mbeya kilimo ,Morogoro kilimo ,Arusha Madini na biashara za utalii..Biashara ni neno pana, mleta mada kazingatia uchuuzi tu.
Lakini mkoani panalipa sana.
Tatizo vijana wa mjini wakiwa na uhakika wa kwenda kidimbwi kila weekend kunywa bia basi wanaona wametoboa, hapo ukute kapanga Hana hata title deeds, ana crown basi halafu mwenzake nyanda kabundi kule ana ng'ombe 300 anakaa SimiyuNgoja nikusanue pesa ipo vijijini maporini uko hii ipo tangu ukoloni mpaka leo mjini hakuna masoko mjini bidhaa nyingi faida unaipata wapi na ndio maana enzi za ukoloni wazungu walijimilikisha maeneo yao ili waweze zalisha mali na wengine wakaenda porini kabisa kutafuta masoko hii njia mpaka leo wajanja wanaitumia
Huwezi kaa mjini kisa wewe bodaboda eti utatoboa kisa kila siku unavichwa
Uwezi kaa mjini ukatoboa kisa wewe chinga unauza soksi, leso, visu ukaona game yako
Uko vijijini ndio kuna badilisha maisha ya watu wa mjini, na waliopo mjini waliotoboa wametoka vijijini wakaja mjini baada ya kujua ramani, vijijini watu wanalima, wanafuga, wana masoko ya bidhaa
So wee kaa mjini endelea kushangaa magorofa mapya kila siku na magari mapya hizo ni products za uko vijijini
Hii nawambia hata vijana mliomaliza vyuo mnatafuta ajira uko vijijini kuna fursa kuna wilaya kibao hazina watalamu wa fans mlizonazo ukienda uko ukakomaa miaka mitatu ukajenga jina ukapata connection mjini unarudi kwa kuvimba
Sasa nyie endeleeni kukaa mjini tu mtakula rami
😂😂😂😂 sure arafu wakiugua wanaanza tuchangisha au kuweka card ya gari bondiTatizo vijana wa mjini wakiwa na uhakika wa kwenda kidimbwi kila weekend kunywa bia basi wanaona wametoboa, hapo ukute kapanga Hana hata title deeds, ana crown basi halafu mwenzake nyanda kabundi kule ana ng'ombe 300 anakaa Simiyu