ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Ndiyo uchambue hata kwa uchache basi karibu mkuuUjasusi ni dhani pana.
Informer,shushushu,inside man,
Mambo kwa ushahidi kimvua kimenyesha kama dakika 3 yanaendelea matone matoneTuanzie hapo dasilamu kwanini ni nyeusi angani?
Ooh sawa mkuuActualy hawaitwi jasusi, is asset, na itategemea uko wapi. Wali waliopo on higher places huwa wanajua wanatumiwa ila wanakuwa wamehaidiwa donge nono,
ila wanaweza kua wanatumika pia ?huku chini maofisini hawajui hata kinachoendelea
ujasusi ni knowledge lazima uwe na mafunzo sio mtu yoyote anaweza kuwa jasusiNdiyo uchambue hata kwa uchache basi karibu mkuu
Oook! umenikumbusha oct 30 kama sio 31 huku anga lilikuwa jeusi kutokana na mabomu, nikabaki dillema ni mawingu au mabomu!!!Mambo kwa ushahidi kimvua kimenyesha kama dakika 3 yanaendelea matone matone
Karibu ndani ya mada
Ooh Shukran sana mkuu ππ
ujasusi ni knowledge lazima uwe na mafunzo sio mtu yoyote anaweza kuwa jasusi
Pole π’ ulikua pande gani siku hiyoOook! umenikumbusha oct 30 kama sio 31 huku anga lilikuwa jeusi kutokana na mabomu, nikabaki dillema ni mawingu au mabomu!!!
Hujaweka wazi mkuu bila malipo ki vipi?BIla malipo upati info
Haya muda wenu majasusi kujimwaya mwaya kwenye uzi wenu umefika.JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
π
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? π€
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani β«οΈ
ShesRise_1 βοΈ
Katoro.....Pole ulikua pande gani siku hiyo
ndio maana wanasema ukiwa unazungumza na mtuTanzania yote watu wake ni majajusi
Umeelewa mada kweli mkuu?Haya muda wenu majasusi kujimwaya mwaya kwenye uzi wenu umefika.
Sisi raia tukae pembeni kwa adabu, heshima na unyenyekevu tuchukue notes.
Ki vipi fafanua ?Tanzania yote watu wake ni majajusi