ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #21
Kumbe we muoga hivi 😅😅ndio maana wanasema ukiwa unazungumza na mtu
zungumza naye kama vile unarekodiwa ili mambo
yakienda mrama usije ukajikuta matatizoni.
Kumbe we muoga hivi 😅😅ndio maana wanasema ukiwa unazungumza na mtu
zungumza naye kama vile unarekodiwa ili mambo
yakienda mrama usije ukajikuta matatizoni.
Kwamba ujifunze mambo ya ujasusi kupitia uzi wa JF.Huoni hapo ni kama darasa tunataka kujifunza
Akaribie jamvini
Kwamba ujifunze mambo ya ujasusi kupitia uzi wa JF.
Mzee, huoni kama unadogosha au unachukulia poa taaluma za watu ?
Nilifundishwa kuchunga kauli zanguKumbe we muoga hivi 😅😅
Ki vipi fafanua ?
Mbona mimi sio jasusi
Je mimi sio mta
Unapenda kuwa jasusi ?Ki vipi fafanua ?
Mbona mimi sio jasusi
Je mimi sio mtanzania?
ndugu mdau,JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
👇
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? 🤔
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujashizusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani ⚫️
ShesRise_1 ✋️
Haya kaa kwa tulia wengine tujiongezee maarifaNilifundishwa kuchunga kauli zangu
nilifundishwa kujiepusha kujifanya expert wa mambo yasiyonihusu au ambayo sina mamlaka nayo kuyatolea ufafanuzi.
Mimi sio jasusiHaya muda wenu majasusi kujimwaya mwaya kwenye uzi wenu umefika.
Hapana sipendi na siweziUnapenda kuwa jasusi ?
sawaHapana sipendi na siwezi
Wewe hutaki kuchangia ewe ndugu mdau au mada ni nzito kwa upande wako?ndugu mdau,
hoja mahususi kama hizi zinahitaji kongamano kabisa kama lile la TCD.
kwasababu mambo ya strategy, safety and security management ni muhimu yakaelezwa na wabobevu waandamizi wa masuala ya kiusalama kabla ya wanasiasa na wanaharakati kugusa kugasa kwa pembeni.
hata na hivyo,
nafuatilia kwa karibu kuona namna wabobevu waandamizi wa JF katika masuala ya kiusalama wanavyodadavua jambo hili ambalo ni very interesting 🐒
Au unataka kunifundishasawa
Katoro geita kwa matajiri?Katoro.....
Wow nzurii hiiNimeshasoma sana hizi habari za ujasusi na nimeshajaribu ku-practice kwenye baadhi ya mambo nimefanikiwa kwa kiasi fulani
Watakufundisha per task watayokupa .🚶🚶Au unataka kunifundisha
Labda naweza kubadili mawazo
Ooh Shukran broWatakufundisha per task watayokupa .🚶🚶
Hiyo tafsiri ni kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili au ni tafsiri yako binafsi?JASUSI !
Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......
Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe
Lakini swali langu la msingi liko hapa
👇
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? 🤔
Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?
Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui
Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa
Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi
Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?
Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani ⚫️
ShesRise_1 ✋️
Yeah!!!Katoro geita kwa matajiri?