Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? šŸ¤”

Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? šŸ¤”

Yes! Mkuu nakubali kabisa.
Hii ni Data Analysis, yaani naisambaza taarifa Fulani alafu naweka attention kujua maoni ya watu au watu wanaelewa vipi juu ya hiyo taarifa.
Ooh asante sana mkuu

Sasa wewe Tlaatlaah ulishindwa kujibu au ?
Maana uliishia ku react kicheko
Au na wewe ulikua hujui cha kujibu ?

Mchangiaji kajibu huku kama hayupo sahihi kwenye hoja yako njoo umsahihishe
Kama yupo sahihi gonga meza unga mkono
 
ndugu mdau,
kuna mambo ambayo sitarajii kuyaona humu, sasa nikiyaona najikuta nacheka tu na kuwawaza wadau juu ya jambo lenyewe

In fact,
napenda kusoma, kuongeza uelewa na ufahamu wangu zaidi ya kujibu jibu tu, kwasababu napenda nikijibu basi Mungu awe amejibu pia šŸ’
 
Huyo ni wale vijana wasio na mbele wala nyuma... Imekaa kupewa hela za kunywea uji tu likitetea mabogusšŸ˜Ž
 
Umeuliza uliza vijimaswali vingii kwa kuzunguka zunguka, ni wewe nini mkuu unafanywa informer bila ridhaa yako?
La hasha si mimi
Nimevutiwa tu kuuliza na kutaka kujua.

Ni "chawa" mlamba miguu pekee ndiye anayeweza kufanya huo ujasusi wa ridhaa bila kujua.

Kwa mwingine usiye chawa, lazima ushawishiwe kwanza kuungwa kwa kazi ya uinforner na kupewa maelekezo jambo la kulifuatilia na kulitolea taarifa.

Mambo hayo yanaenda hatua kwa hatua kama dose ya dawa za hospitali.

Baadaye wakikuona "wautulie" na unaendana na kutii, pamoja na kufanikisha kwa usahihi malengo kusudiwa, ndipo unapofanywa knepper kamili na kuanza kupangiwa majukumu na kulipwa allowence.

Lakini from no where, mtu na akili zako hauwezi kufanya kazi ya uinformer bila mwenyewe kujua, maana maswali ya dodoso yatakuchosha na utashitukia deal mapema sana.
Oooh shukrani sana mkuu karibu tena
 
kwa mfano,
wanausalama wamewakuta mahali mnajadlilana kuhusu jambo fulani ambalo wanatafuta taarifa zake. Hali hiyo unaweza kuiitaje?

na ndio maana nikasema hao wangwana wa usalama, wanaweza kukusanya taarifa wanazohitaji bila hata wadau wanaozijadili kujua, kwasababu sio rahisi kumgundua mwana usalama alie mission.

Yes ,
unaweza kuandaliwa strategically, na kutengenezwa kua somebody somewhere katika nchi, bila wewe kujijia.

Na inafanyika hivyo, kwasababu ukijua unaandaliwa unaweza kuanza kuzembea mathalani kwenye mafunzo au unaweza kuanza kujawa kiburi na pengine dharau na kuota pembe na kutamani muda ufike haraka n.kšŸ’
Haya asante kwa maoni
Karibu tena mdau
 
Ujasusi ni kipaji, Ujasusi ni ajira.

Unaweza ukawa na kipaji cha ujasusi na usiajiriwe kwa KAZI hio moja kwa moja inagawa itakusaidia kwenye maisha yako kila siku.
Ooh asante sana sikujua hili kabla
 
ndugu mdau,
kuna mambo ambayo sitarajii kuyaona humu, sasa nikiyaona najikuta nacheka tu na kuwawaza wadau juu ya jambo lenyewe
Hayo mambo ulitarajia kuyaona wapi?
In fact,
napenda kusoma, kuongeza uelewa na ufahamu wangu zaidi ya kujibu jibu tu, kwasababu napenda nikijibu basi Mungu awe amejibu pia šŸ’
Sometimes unaweza usijibu sio kwamba hupendi kujibu jibu ila ni kwasababu jibu hunalo šŸ˜…

Karibu tena
 
Wow nzurii hii

Kwa uelewa wako

Je mtu anaweza kutumika kufanya ujasusi bila yeye kujua kama anatumika?
Ni sahihi, Tena mara nyingi TU.
Eneo maarufu ambalo hii mbinu hutumika ni katika sekta ya ajira rasmi iwe ya kudumu au ya muda mfupi.
Wakuu wa vitengo, mameneja au kwa kifupi mabosi, hutumika kupata taarifa za watu walio chini Yao, bila hata wao kujua.
Chukulia kwa mfano inakuja taarifa ofisini (kama ilivyo maarufu kwamba imetoka juu) inataka taarifa Fulani za waajiriwa au watumishi wote hapo ofisini, Bosi atakachofanya ni kuwataka watu wake watekeleze hilo takwa, Kisha yeye kuzitumia zinakohitajika.
Mlengwa anaweza kuwa mmoja, lakini idara nzima wakatakiwa watoe taarifa hizo. Katika mazingira Haya, hata bosi anaweza kuwa hajui, lakini anatumika vizuri TU. Effectiveness ya njia hii ni kwamba, hakuna mwajiriwa au mtumishi anayeweza kumgomea bosi wake šŸŖ¤šŸŖ¤šŸ˜‚šŸ˜‚
 
ndugu mdau,
kuna mambo ambayo sitarajii kuyaona humu, sasa nikiyaona najikuta nacheka tu na kuwawaza wadau juu ya jambo lenyewe

In fact,
napenda kusoma, kuongeza uelewa na ufahamu wangu zaidi ya kujibu jibu tu, kwasababu napenda nikijibu basi Mungu awe amejibu pia šŸ’

Mkuu nakubali maoni yako lakini Je! Huoni kama dunia imeshabadilika?

Binafsi sioni ubaya wowote watu wakijua haya mambo as long as wasivunje Sheria za nchi.

Pia ujasusi umehamia kwenye Tech, huu tunaozungumza hapa umeshakua wa kizamani.

Hizi smartphone ndio ujasusi wenyewe.

Swali la kizushi kwanini unapenda kuweka hicho kingedere???
 
Kwani hii mada inashangaza nini kwa mfano mpka aseme hivyo?
 
Back
Top Bottom