Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? 🤔

Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? 🤔

Hakuna jipya hapa,

Kwa maoni yangu tlaa!tlaa ni mtu mzima na yuko over 50y.o
Hii ligi ya millennials na Gen Z kwake ni ngumu.

Makanisa ya zamani tulikua, tunasifu, kuabudu, na kusikiliza neno. Makanisa ya siku hizi kuna kusifu,kuabudu,kusikiliza neno, kudadavua neno na kupima kama mchungaji anatenda analolihubiri.

Tlaaatlaa ni kanisa la zamani.😂😂😂 Joking
Ooh sawa mkuu
Asante kwa ufafanuzi
 
Ni sahihi, Tena mara nyingi TU.
Eneo maarufu ambalo hii mbinu hutumika ni katika sekta ya ajira rasmi iwe ya kudumu au ya muda mfupi.
Wakuu wa vitengo, mameneja au kwa kifupi mabosi, hutumika kupata taarifa za watu walio chini Yao, bila hata wao kujua.
Chukulia kwa mfano inakuja taarifa ofisini (kama ilivyo maarufu kwamba imetoka juu) inataka taarifa Fulani za waajiriwa au watumishi wote hapo ofisini, Bosi atakachofanya ni kuwataka watu wake watekeleze hilo takwa, Kisha yeye kuzitumia zinakohitajika.
Mlengwa anaweza kuwa mmoja, lakini idara nzima wakatakiwa watoe taarifa hizo. Katika mazingira Haya, hata bosi anaweza kuwa hajui, lakini anatumika vizuri TU. Effectiveness ya njia hii ni kwamba, hakuna mwajiriwa au mtumishi anayeweza kumgomea bosi wake 🪤🪤😂😂
Oooh kumbee Shukran sana
Hii ni mpya kwangu najifunza hakika
 
Unaweza ukawa jasusi bila hata kujua na ukatumika kupeleka taarifa pasipo kujua kama unapeleka taarifa.

Kwa mfano unaweza ukawa unafanya kazi ofisi fulani halafu wenye kazi zao wakawatumia watu ambao karibu kupata taarifa za ofisi unayofanya kazi na wewe ukawa unawasimulia watu wako wa karibu na wao wakawa wanawapa taarifa
Oooh sasa hapo anakua jasusi au mtoa taarifa
 
JASUSI !

Kwa uelewa wangu jasusi ni mtu anayehusika na kukusanya au kupeleka taarifa kwa siri kwa mtu, taasisi au ofisi nyingine
Mara nyingi anajua anachokifanya na anaweza kulipwa kwa kazi hiyo
Maana yake anajua kabisa mimi nafanya ujasusi kwa ajili ya mslahi fulani
Anaweza kua jasusi kwenye siasa
Anaweza kua jasusi kwenye biashara nk......

Mimi naelewa hivyo kama sipo sahihi naomba nisahihishwe

Lakini swali langu la msingi liko hapa
👇
Je, unaweza kuwa jasusi bila kujijua? 🤔

Yaani, inawezekana watu wakawa wanakutumia wewe kukusanya taarifa mbalimbali huku wewe ukifanya hivyo bila kujua kwamba taarifa hizo zinatumika kwa shughuli za kijasusi?

Mfano, unaweza kuwa unaulizwa maswali fulani, unaombwa taarifa kuhusu watu au sehemu fulani, au unaambiwa ufuatilie jambo fulani ukidhani ni kitu cha kawaida
Kumbe taarifa unazokusanya zinapelekwa mahali pengine na kutumika kwa malengo ambayo wewe huyajui

Sasa unawezaje kutambua kua unatumika kufanya ujasusi au unafanywa kua chanzo cha taarifa

Ni dalili zipi ukiziona ujue hapa kuna namna natumika kufanya Ujasusi

Swali la nyongeza ikiwa kweli mtu huyo anatumika kuafanya ujasusi hata kama mwenyewe hatambui
Je huyo ni jasusi au ni chanzo cha taarifa ?

Chombezo Dar es Salaam ni nyeusi angani ⚫️
ShesRise_1 ✋️
Kuna jamaa mrefumrefu hapo kwenye taasisi yenu unamfahamu vizuri?! Ana familia cheo chake ni kipi nisaidie kama huna details uliza kwa HR
 
Back
Top Bottom