Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
nakubaliana na wewe pia kua maendeleo ya teknolojia yamechochea hata watu kufikiri zaidi ya awali.Mkuu nakubali maoni yako lakini Je! Huoni kama dunia imeshabadilika?
Binafsi sioni ubaya wowote watu wakijua haya mambo as long as wasivunje Sheria za nchi.
Pia ujasusi umehamia kwenye Tech, huu tunaozungumza hapa umeshakua wa kizamani.
Hizi smartphone ndio ujasusi wenyewe.
Swali la kizushi kwanini unapenda kuweka hicho kingedere???
hata hivyo,
emoji si ndio ndio maendeleo yenyewe ya teknolojia ya mawasiliono gentleman, kwamba tunaweza kucomunicate kwa emoji tu 🐒