ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
- #181
Usikute mpka sahivi unafanyiya watu kaziAisee.
Basi kama ndivyo tumeshawafanyia kazi watu bila kujua.
Usikute mpka sahivi unafanyiya watu kaziAisee.
Basi kama ndivyo tumeshawafanyia kazi watu bila kujua.
Upo sahihi kabisa.Usikute mpka sahivi unafanyiya watu kazi
Sawa😊Upo sahihi kabisa.
Ni kweli"Spies comes in many shapes and size" hii nukuu niliipata kwenye kitabu cha spies and the traitor cha Ben Macintyre....tokea hapo nikajifunza Jambo kwamba hata mfagia ofisi wa pale ndani kwa afisa au mkuu wa wilaya anaweza kuwa njagu.
Kuna scenario moja ilitokea, unaweza kuhisi ni movie 😁😁. Baadaye ukitafakari unaishia kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu.Sawa😊
Hebu share hapa tujifunzeKuna scenario moja ilitokea, unaweza kuhisi ni movie 😁😁. Baadaye ukitafakari unaishia kujiuliza maswali yasiyokuwa na majibu.
Kwahiyo ni watoa taarifa ila sio majasusi japo wapo sehemu ya missionJibu ni ndiyo
Ujasusi una makundi yake
Kundi moja wapo ni hilo ambalo linatumika bila wao kijijua(Watoa taarifa wasio waajiriwa)
Ujasusi pamoja na majukumu yao ya Kila siku, wanalo jukumu la kukusanya taarifa na kuzichakataKwahiyo ni watoa taarifa ila sio majasusi japo wapo sehemu ya mission
Hahaha!Hebu share hapa tujifunze
Sawa mkuuUjasusi pamoja na majukumu yao ya Kila siku, wanalo jukumu la kukusanya taarifa na kuzichakata
Kwahiyo hao watoa taarifa nao ni sehemu ya timu kubwa ya ujasusi, japo wao hawapo kwenye payroll
Karibu pia 🙏🙏🙏Sawa mkuu
Asante karibu tena
ShukranKaribu pia 🙏🙏🙏
🙏Shukran
Ulipewa lift?Hahaha!
Hii tuachane nayo mkuu.
Ila kwa ufupi tu niliwahi kupewa lift mahali, kumbe mle ndani kuna vipepeo watupu, baada ya mwendo kama wa 2hrs gari ikapaki wakahamia kwenye gari nyingine tuliyoikuta pale imepark, kwavile nilikuwa sijafika ninakoelekea nami nikaambiwa nipande safari iendelee. (Muda napewa lift ilikuwa saa 2 usiku).
😁😁😁😁Ilipewa lift?
Uliomba wewe lift?
Kwani hukua na nauli?
Uliwezaje kukubali lift kwenye gari la kwanza na baadae gari la pili?
Ulijuaje wale watu ni vipepeo?
Sawa mkuu😁😁😁😁
Mkuu, tuishie tu hapo. Ndo maana nikasema awali unaweza kufikiri ni movie.
Asante kwa maoni mkuuKwenye kukusanya taarifa ndani yake wana tokea watu ambao hawa kuwa kenye mpango wa hiyo mission..Ila vipande vidogo vya maneno yao, vina weza kuwa na mchango mkubwa kwa Jasusi anaye kusanya Taarifa.
Hapa yeyote anaweza kushiriki kutoa taarifa pasi na kujua umuhimu wa hiyo taarifa kwa anaye mpatia..Kwasababu Jasusi anacho fanya
kuunganisha Taarifa zinazo kuja kwa mfumo wa Pizza.
Kwa maana hiyo hata wewe unaweza kushiriki kwenye(Mission) ya jasusi bira ya kujua