ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #201
πππ I wonderMimi ni jasusi....njoo inboxππππ
π€π€π€Sawa mkuu
Karibu tena π
SECRETARY BIRD anataka kuanzisha kitengo kabisa , sasa unashangaa nini ?πππ I wonder
Anataka kuanzisha genge la umbeya πSECRETARY BIRD anataka kuanzisha kitengo kabisa , sasa unashangaa nini ?
Huyo ulie mtag na huyu secretarybird ni mtu mmoja πSECRETARY BIRD anataka kuanzisha kitengo kabisa , sasa unashangaa nini ?
Nilipita mara moja nikasoma mada ni nzuri ila sijui sana mambo ya siasa nikasoma kidogo comment nikatoka
Wewe unajua mambo ya uchawi na nyota nitafungua uzi wa mambo ya nyota twende sawa πNilipita mara moja nikasoma mada ni nzuri ila sijui sana mambo ya siasa nikasoma kidogo comment nikatoka
Dah! Mambo ya uchawi tena π,Wewe unajua mambo ya uchawi na nyota nitafungua uzi wa mambo ya nyota twende sawa π
Hivi kwenye ule uzi wa uchawi ulikuepo kweli?
Uzi wangu upo jamii intelligence juu kabisa ππDah! Mambo ya uchawi tena π,
Uzi upi huo unaosemea?
Nishaujua nilishachangia mada humo ila mi na base zaadi kwenye saikolojia sio uchawi πUzi wangu upo jamii intelligence juu kabisa ππ
Kwani ule uzi si una mchanganyiko uchawi na saikolojiaNishaujua nilishachangia mada humo ila mi na base zaadi kwenye saikolojia sio uchawi π
Hawa wanaitwa "unwitting assests".