Je, unaweza kuwa tajiri bila kuwa mshirikina?

Cheef Baroka

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2019
Posts
491
Reaction score
1,010
Habari,

Naombeni tujadili jambo hili kwa kina maana linagusa maisha kwa ujumla.

Katika mfumo wa utaftaji ni jambo linalohitaji mtu kuwa na nguvu flani. Kwa hali ya mazoea zipo nguvu za kidini na zile za kishirikina. Kwa upande wangu kupitia shughuli ninazofanya, 100% natumia nguvu za Mungu, na najaliwa kupata kipato chakukidhi haja zangu na dharura zangu . Na kupitia utafti mfupi nlofanya nimegundua wengi tunaoishi ktk misingi ya kimungu huwa tunakuwa na uwezo wa kawaida yani kigali kimoja, nyumba, viduka kadhaa tu basi.

Nikajaribu kuongea na watu kadhaa walofanikiwa zaidi yangu. Wakwanza akaniambia yeye Mwanza katika biashara zake hakuwa anauza kabisa yani jirani zake (kibiashara) waliweza kuuza mauzo makubwa kuliko yeye hali yakuwa wote wana mali sawa (zinazofanana). Pia alikuwa anapoteza pesa katika mazingira ya kutatanisha lakini baada ya kwenda alikoenda akaanza kuona mabadiriko.

Rafki yangu mwingine anadai kazini kwake mambo jayakuwa sawa yani alikuwa haishi matatizo kazini na baada ya kufanya ushirikina sasa hivi ndo mkuu wa wa Kitengo kazini kwake. Lakini pia hata matajiri wakubwa duniani wanahusishwa na imani za kishirikina.

Je, we una mfano kutoka kwenye jamii unayoishi ya mti mwenye mafanikio makubwa ambae hausishwi na imani za kishirikina?

Je, mtu unaweza kuwa tajiri mkubwa duniani bila kupiga ndele?

Naombeni tuwe wawazi tusi-comment kwa kujisafisha, tuongelee uhalisia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana kabisa... Lakini shida huja kutaka kuuongeza na kuulinda... Hapo ndipo uchawi huanzia

Jr[emoji769]
 
Hii nyuzi yako imenikumbusha kisa fulani, huku mtaani kwanza inaonekana watu wengi wakiona unaanza kuinuka kimaisha mambo yanakunyokea wanafikiria kuwa wewe ni mchawi/mshirikina

Mfano kijiji fulani kuna braza angu anafanya shughuli za kilimo miaka zaidi ya 10 sasa, ila miaka miwili karibuni mambo yameanza kumnyookea baada ya kuhustle from the scratch na kilimo cha kutumia nguvu. Mfano mwaka huu ameongeza hekari nyingi sana bas vijana mtaani , ndugu zake wote wanaamini jamaa anatumia ndumba wanasema siyo bure jamaa atoboe kirahisi vile "itakuwa mchawi huyu".

Ila kwa utafiti wangu nimegundua jamaa ni fighter tu anaheshimu pesa , pia mke wake kamsaidia sana kwenye kumanage biashara zao .

Utafiti wa nje ama ndani? Ni vigumu sana kwa Africa kufanya tafiti kuhusu maisha binafsi isha ukapata jibu la uhakika. Angalia usijelishwa matangopori

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
 
Mi ninachoamini kua ushirikina upo na una nguvu sana, na ndio unaoendesha maisha ya wengi. Kwenye biashara au sehemu yoyote yenye riziki kuna nguvu za gjza nyingi zinatuandama, mimi nimeshuhudia na nina conckude kua "kufanya biashara huku kwetu uswahilini ukiwa mweupe huwez kutoboa never, yan utakua unawafanyia wenzio biashara na mwisho wa siku biashara itakufa."

Mi naamin kua matajiri weusi 99.9% nguvu za giza zinahusika sana. Linapikuja suala la pesa watu weusi tunarogana kishenziiii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MKUU ni NGUMU SANA HIYO..sababu si kama utapata utajiri kwa USHIRIKINA...BALI NI KWAMBA ukishaanza KUINUKA KUWA NA PESA wapo WATU WATATAKA KUKUROGA ILI URUDI CHINI...hapo NDIPO MATAJIRI WENGI HUINGIA KWNYE SHIRIKI ILI KULINDA NA KUENDELEZA MALI ZAO...kwa kweli HAKUNA TAJIRI MSAFI..WENGI KUNA SHIRIKI NDANI YAKE...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana sema lazima umtegemee MUNGU asilimia mia moja bila hivyo utajiingiza tu huko kwenye waganga na uchawi
YESU akiwa ndani yako na matendo ya haki Hakika hakuna la kukudhuru lakini ikiwa wewe na MUNGU kama mlishapigana basi ujue wwe unapoelekea ni kule kule ili kupata ulinzi lazima utafute nguvu za Giza
 
Kuna watu humu humu watajifanya innocent Sana kwakua wanasubir za kwenye account na Wana play safe....mtaani kupata hela Nyingi Ni either utegemee ushirikina au Mungu..Tena basi wengi wako kwenye ushirikina....kwanini inakua ivo..!!??Kuna watu mitaani wanafanya biashara wametega machuma ulete yao ya kutoka Malawi na Naigeria ambayo kwa siku linaingiza milioni moja au mbili kwenye mzunguko mkubwa wa pesa,,na wamegawana maeneo ya utawala..kwahiyo kila atakaepita lazima aache hela..usipo acha unaandikiwa Deni,,,haya hapo hapo mfano una duka Kuna wenzio pembeni Wana misukule inaita wateja,,the same bussiness ila wateja kwako hawaji...unajikuuta mwisho wa mwaka biashara yako imekufa kwa kua moja hupati wateja wa kutosha na pili ukipita mtaani unalipa indirect tax kwa wenye machuma ulete yao...hapa Sasa ata ukiwa unajifanya msomi wa uhasibu na una keep mahesabu na record..utakuta pesa uliyouza Ni tofauti na hela iliyopo......Chagua moja..nyeusi au Nyeupe....Nyeupe ngumu ..Nyeusi Rahisi yenye masharti magumu..ukikosea...umeenda
 
Hii nyuzi yako imenikumbusha kisa fulani, huku mtaani kwanza inaonekana watu wengi wakiona unaanza kuinuka kimaisha mambo yanakunyokea wanafikiria kuwa wewe ni mchawi/mshirikina

Mfano kijiji fulani kuna braza angu anafanya shughuli za kilimo miaka zaidi ya 10 sasa, ila miaka miwili karibuni mambo yameanza kumnyookea baada ya kuhustle from the scratch na kilimo cha kutumia nguvu. Mfano mwaka huu ameongeza hekari nyingi sana bas vijana mtaani , ndugu zake wote wanaamini jamaa anatumia ndumba wanasema siyo bure jamaa atoboe kirahisi vile "itakuwa mchawi huyu".

Ila kwa utafiti wangu nimegundua jamaa ni fighter tu anaheshimu pesa , pia mke wake kamsaidia sana kwenye kumanage biashara zao .

Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mafanikio ya kawaida mi sina kipingamizi kuwa waweza kupata bila hata shirki ya aina yoyote. Ila utata unakuja kwenye Ukwasi yani zile level za ki bilionea.?
Ndo nataka mfano wa mtu wa level hizo ambae uba uhakika 100% hatumii tunguli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna watu humu humu watajifanya innocent Sana kwakua wanasubir za kwenye account na Wana play safe....mtaani kupata hela Nyingi Ni either utegemee ushirikina au Mungu..Tena basi wengi wako kwenye ushirikina....kwanini inakua ivo..!!??Kuna watu mitaani wanafanya biashara wametega machuma ulete yao ya kutoka Malawi na Naigeria ambayo kwa siku linaingiza milioni moja au mbili kwenye mzunguko mkubwa wa pesa,,na wamegawana maeneo ya utawala..kwahiyo kila atakaepita lazima aache hela..usipo acha unaandikiwa Deni,,,haya hapo hapo mfano una duka Kuna wenzio pembeni Wana misukule inaita wateja,,the same bussiness ila wateja kwako hawaji...unajikuuta mwisho wa mwaka biashara yako imekufa kwa kua moja hupati wateja wa kutosha na pili ukipita mtaani unalipa indirect tax kwa wenye machuma ulete yao...hapa Sasa ata ukiwa unajifanya msomi wa uhasibu na una keep mahesabu na record..utakuta pesa uliyouza Ni tofauti na hela iliyopo......Chagua moja..nyeusi au Nyeupe....Nyeupe ngumu ..Nyeusi Rahisi yenye masharti magumu..ukikosea...umeenda
Nimependa comment yako mana umeelezea uhalisia wa maisha ya kiafrika yalivyo.
Hivi umewahia fanyia utafiti ulichoelelezea, ili tuanzia apo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom