Cheef Baroka
JF-Expert Member
- Apr 28, 2019
- 491
- 1,010
Habari,
Naombeni tujadili jambo hili kwa kina maana linagusa maisha kwa ujumla.
Katika mfumo wa utaftaji ni jambo linalohitaji mtu kuwa na nguvu flani. Kwa hali ya mazoea zipo nguvu za kidini na zile za kishirikina. Kwa upande wangu kupitia shughuli ninazofanya, 100% natumia nguvu za Mungu, na najaliwa kupata kipato chakukidhi haja zangu na dharura zangu . Na kupitia utafti mfupi nlofanya nimegundua wengi tunaoishi ktk misingi ya kimungu huwa tunakuwa na uwezo wa kawaida yani kigali kimoja, nyumba, viduka kadhaa tu basi.
Nikajaribu kuongea na watu kadhaa walofanikiwa zaidi yangu. Wakwanza akaniambia yeye Mwanza katika biashara zake hakuwa anauza kabisa yani jirani zake (kibiashara) waliweza kuuza mauzo makubwa kuliko yeye hali yakuwa wote wana mali sawa (zinazofanana). Pia alikuwa anapoteza pesa katika mazingira ya kutatanisha lakini baada ya kwenda alikoenda akaanza kuona mabadiriko.
Rafki yangu mwingine anadai kazini kwake mambo jayakuwa sawa yani alikuwa haishi matatizo kazini na baada ya kufanya ushirikina sasa hivi ndo mkuu wa wa Kitengo kazini kwake. Lakini pia hata matajiri wakubwa duniani wanahusishwa na imani za kishirikina.
Je, we una mfano kutoka kwenye jamii unayoishi ya mti mwenye mafanikio makubwa ambae hausishwi na imani za kishirikina?
Je, mtu unaweza kuwa tajiri mkubwa duniani bila kupiga ndele?
Naombeni tuwe wawazi tusi-comment kwa kujisafisha, tuongelee uhalisia.
Sent using Jamii Forums mobile app