live on
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 855
- 1,365
Hata mimi nilikuwaga najiuliza sana hicho kitu lakini kama Brevis inavuta nyuma ni kweli itakuwa ngumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una shahada ya Uchumi?Write your reply... highway yoyote . uwa nasafr Sana mfano Kama Sina haraka natoka tabora to bukoba nahakikisha natembea costant speed hata Kama Kuna changes siyo Sana .natembeaga 80 to 110 lakini Mara nyingi 100 . hivyo mambo ninayozingatia 1...
Mhhh mjomba umetisha snaa...15 km kwa lita.duh...halaf ni 2490...duuh.mjomba ndinga yako itakua muda wote kitaa cha njano kimewaka aisee..duh nmekubalWrite your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
kitaa Cha njano kinachoashiria Nini? cjakuelewa mkuuMhhh mjomba umetisha snaa...15 km kwa lita.duh...halaf ni 2490...duuh.mjomba ndinga yako itakua muda wote kitaa cha njano kimewaka aisee..duh nmekubal
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mkuu si bora uchukue pikipiki tu kuliko kujitesa kote huko kisa mafuta!Write your reply... highway yoyote . uwa nasafr Sana mfano Kama Sina haraka natoka tabora to bukoba nahakikisha natembea costant speed hata Kama Kuna changes siyo Sana .natembeaga 80 to 110 lakini Mara nyingi 100 . hivyo mambo ninayozingatia 1...
Ila amesema speed yake ni kati ya 80 na 110.Sasa Mkuu si bora uchukue pikipiki tu kuliko kujitesa kote huko kisa mafuta!
mkuu sioni kujitesa kokote maana nishazoea kwahyo huo ndo uendeshaji wangu ..ila Kama Nina haraka zangu naizibua kwelkwel si kila safar ni mwendo wa kubana mafutaSasa Mkuu si bora uchukue pikipiki tu kuliko kujitesa kote huko kisa mafuta!
mkuu sioni kujitesa kokote maana nishazoea kwahyo huo ndo uendeshaji wangu ..ila Kama Nina haraka zangu naizibua kwelkwel si kila safar ni mwendo wa kubana mafuta
Cha muhimu zaidi ni kutembea rpm ya chini ila uwe na uhakika kwamba gari yako ishapanga gia zote. hyo costant rpm unakuta zinakuwa zinadalika kidogo na kwa mda mrefu mfano 1.8 , 2.0, mpaka 2.2 .cyo utoke 1.5 gafla mpaka 5 Alf Tena ushuke gafla kwa mda mfupi hi cyoKwa hiyo unakuwa hutakiwi kupiga piga breki au inabidi utembee na rpm ya chini au rpm inabidi iwe constant?
Alexander The Great