Je, unaweza kuweka Engine ya premio au Carina Ti kwenye Brevis?

Je, unaweza kuweka Engine ya premio au Carina Ti kwenye Brevis?

Write your reply... highway yoyote . uwa nasafr Sana mfano Kama Sina haraka natoka tabora to bukoba nahakikisha natembea costant speed hata Kama Kuna changes siyo Sana .natembeaga 80 to 110 lakini Mara nyingi 100 . hivyo mambo ninayozingatia 1. ninapoanza safari au Kama Kuna sehem yoyote either nilisimama au nilipunguza speed kwa sababu ya bams huwa nakanyaga exleta kwa kuibia nikishajiamisha kwamba Sasa imeishapanga gia zote ndo naongeza Tena Moto kidogo na kumentain hapohapo. siyo unataka mpaka ichimbe hapana 2.

hakuna kukanyaga breki ovyoovyo zisizona msingi Kama unashida ya kupunguza mwendo au kusimama mbele mita kadhaa toa mguu kweny moto na iache iseleleke yenyewe ukija kufika itakuwa ishapunguza speed. kwahyo najikuta natembea klm 15 kwa Lita na kiyoyozi juu mwanzo mpaka mwisho wa safar sishushagi kioo Mimi.

kwa city Sina uzohefu Sana kwa sababu me Niko tu miji wa kawaida ambao jam zake ni kweny taa tu .rpm angalia kweny dashboard ya gari utaona Kuna namba zimepangwa kuanzia moja mpka nane ndo namba za rpm maana yake ni revolution per minute ukikanyaga mafuta uwa mshale unapanda kutoka moja kuitafta nane . kwahyo huwa najitahidi naibalance nikiwa speed 100 mshale unakuwa juu kidogo ya 2
 
Write your reply...hapo mambo makubwa ni mawili ya kucheza nayo ukanyagaji wa Moto husipende kuikaba Sana vilevile husipende kukanyaga breki gafla Kama hakuna ulazima .maana ukikanyaga breki gafla itashuka gia wakati ilikuwa ishachanganya .
 
Write your reply... highway yoyote . uwa nasafr Sana mfano Kama Sina haraka natoka tabora to bukoba nahakikisha natembea costant speed hata Kama Kuna changes siyo Sana .natembeaga 80 to 110 lakini Mara nyingi 100 . hivyo mambo ninayozingatia 1...
Mkuu una shahada ya Uchumi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
Mhhh mjomba umetisha snaa...15 km kwa lita.duh...halaf ni 2490...duuh.mjomba ndinga yako itakua muda wote kitaa cha njano kimewaka aisee..duh nmekubal

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply... highway yoyote . uwa nasafr Sana mfano Kama Sina haraka natoka tabora to bukoba nahakikisha natembea costant speed hata Kama Kuna changes siyo Sana .natembeaga 80 to 110 lakini Mara nyingi 100 . hivyo mambo ninayozingatia 1...
Sasa Mkuu si bora uchukue pikipiki tu kuliko kujitesa kote huko kisa mafuta!
 
Sasa Mkuu si bora uchukue pikipiki tu kuliko kujitesa kote huko kisa mafuta!
Ila amesema speed yake ni kati ya 80 na 110.
Hiyo mbinu niliitumia mwezi October mwaka jana na Rav 4 kilitime, lita 60 kutoka Dar hadi Mbeya bila kuongeza mafuta,kabla nilikuwa naongeza nikifika Makambako au Morogoro kama narudi Dar.

Muhimu ni kucheza na mteremko ili unapo anza kupanda unagusa kidogo tu moto kuumaliza mlima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu sioni kujitesa kokote maana nishazoea kwahyo huo ndo uendeshaji wangu ..ila Kama Nina haraka zangu naizibua kwelkwel si kila safar ni mwendo wa kubana mafuta

Kwa hiyo unakuwa hutakiwi kupiga piga breki au inabidi utembee na rpm ya chini au rpm inabidi iwe constant?


Alexander The Great
 
Kwa hiyo unakuwa hutakiwi kupiga piga breki au inabidi utembee na rpm ya chini au rpm inabidi iwe constant?


Alexander The Great
Cha muhimu zaidi ni kutembea rpm ya chini ila uwe na uhakika kwamba gari yako ishapanga gia zote. hyo costant rpm unakuta zinakuwa zinadalika kidogo na kwa mda mrefu mfano 1.8 , 2.0, mpaka 2.2 .cyo utoke 1.5 gafla mpaka 5 Alf Tena ushuke gafla kwa mda mfupi hi cyo
 
Back
Top Bottom