Wakuu samahan kwa kuandika huu uzi usiku usiku... Nina jamaa yangu Kapatwa na matatizo ya Kuyumba kiuchumi. Anataka aniuzie Brevis yake ambayo kimsingi engine yake ni 2.5L na mimi kwa kweli Hapa ndo sipawezi.
Ila ni muda mrefu kweli nalitaman hili dude hasa lilivyo ndani na comfortability yake. Sasa je naweza kumpa hiyo Mill 5 niibebe kisha nikaweka engine ya Carina TI au Premio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
Na mimi huwa natumia mbinu hyo hyo na nilishazoea kuendesha hvomkuu sioni kujitesa kokote maana nishazoea kwahyo huo ndo uendeshaji wangu ..ila Kama Nina haraka zangu naizibua kwelkwel si kila safar ni mwendo wa kubana mafuta
Usijidanganye kulinganisha 1JZ-GTE(JZX 110) vs 1JZ-GE(Progress).Aiseee shukrani mkuu huu ushauri utanifanya nisibadili mawazo yangu ya kununua mark II JZX110.
Usijidanganye kulinganisha 1JZ-GTE(JZX 110) vs 1JZ-GE(Progress).
1JZ-GTE ni jini kweli kweli.
Tuning ndio nini Mkuu wengine tunajua ile fine Tuning ya kwenye redio za zamaniHahahah... nitaifanyia chip tuning nikiona jini sana.
Tuning ndio nini Mkuu wengine tunajua ile fine Tuning ya kwenye redio za zamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo unamaanisha kwamba unaweza Ku Tune gari ambayo hapo awali ilikuwa inakula mafuta na ikapunguza kiasi cha fuel consumption?Kubadili parameters kwenye mfumo wa kompyuta wa gari ili upate ama more power au ili upate fuel consumption or both.
Write your reply...Kuna mwenye Carina ti nilimwambia akanibishia tukapanga route ya km 100 na wote tukaanza safar kwa pamoja na kufika kwa pamoja .tulikuwa tunatembea sipid 100 . yeye alijikuta ametumia Lita 10 Mimi Lita 7
Kwa hiyo unamaanisha kwamba unaweza Ku Tune gari ambayo hapo awali ilikuwa inakula mafuta na ikapunguza kiasi cha fuel consumption?
Sent using Jamii Forums mobile app