Je, unaweza kuweka Engine ya premio au Carina Ti kwenye Brevis?

Je, unaweza kuweka Engine ya premio au Carina Ti kwenye Brevis?

Write your reply...naomba mnisaidie kitu kimoja gari yangu nikiweka drive kwenye dash board haionyeshi ingawaje inaengage lakini yaan kitaa hakiwaki lakini niweka neutro , parking na mengine inaonyesha shida itakuwa Nini au balbu itakuwa imeungua maana imetokea gafla
 
Write your reply...na je Kama balbu imengua kuweka nyingine inatakiwa kufungua sehemu nyingi kweny dashboard ?
 
Wakuu samahan kwa kuandika huu uzi usiku usiku... Nina jamaa yangu Kapatwa na matatizo ya Kuyumba kiuchumi. Anataka aniuzie Brevis yake ambayo kimsingi engine yake ni 2.5L na mimi kwa kweli Hapa ndo sipawezi.

Ila ni muda mrefu kweli nalitaman hili dude hasa lilivyo ndani na comfortability yake. Sasa je naweza kumpa hiyo Mill 5 niibebe kisha nikaweka engine ya Carina TI au Premio?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hivi Bongo hamna watu wanafanya tuning?

Hizi shida zote zingekuwa solved kwa chip tuning. Whether unataka fuel economy au unataka Performance.
 
Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200

Aiseee shukrani mkuu huu ushauri utanifanya nisibadili mawazo yangu ya kununua mark II JZX110.
 
mkuu sioni kujitesa kokote maana nishazoea kwahyo huo ndo uendeshaji wangu ..ila Kama Nina haraka zangu naizibua kwelkwel si kila safar ni mwendo wa kubana mafuta
Na mimi huwa natumia mbinu hyo hyo na nilishazoea kuendesha hvo
 
Aiseee shukrani mkuu huu ushauri utanifanya nisibadili mawazo yangu ya kununua mark II JZX110.
Usijidanganye kulinganisha 1JZ-GTE(JZX 110) vs 1JZ-GE(Progress).

1JZ-GTE ni jini kweli kweli,ile ni gari ya Performance kama uwezo hauna bora kuachana nayo tu maana hautai-enjoy.
 
Write your reply...Kuna mwenye Carina ti nilimwambia akanibishia tukapanga route ya km 100 na wote tukaanza safar kwa pamoja na kufika kwa pamoja .tulikuwa tunatembea sipid 100 . yeye alijikuta ametumia Lita 10 Mimi Lita 7

Kaka uko sahihi kabisa.....
Kwa uzoefu wangu, ukiweza ku control RPM unaokoa mafuta na fedha nyingi sana
 
Inawezekana ila mafundi umeme wa gari ndo watakuwa sheli yako mpya. Watazinywa hizo pesa mpaka ufurahi.

Umeme wa brevis ni sensitive.
Nunua vitz, passo au ist etc mpaka utakapokuwa tayari kuwa na pesa ya kuhudumia a comfortable car. Ni kawaida kuanzia chini.
 
Kwa hiyo unamaanisha kwamba unaweza Ku Tune gari ambayo hapo awali ilikuwa inakula mafuta na ikapunguza kiasi cha fuel consumption?

Sent using Jamii Forums mobile app

Exact... inawezekana kufanya hivyo bila kuongeza kitu chochote kwenye gari yako. Just kubadili tu parameters. Ila ni mambo ambayo yanahitaji mtu ambaye yupo qualified. Hakuna fundi nyundo anaweza kufanya hiyo kitu...
 
Back
Top Bottom