Sina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia?
Kuna jamaa yangu ananiambia anahisi mkewe ni mchawi, kwasababu hakuwahi kumpenda wala kumtamani lakini leo hii ndiye mke wake,ni baada ya kuota amemuoa na yeye kutaka kuipima ndoto.