Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Achana na imani hizo za kupata mpenzi na uchawi wa mganga..utalipia gharama kubwa na unaweza haribu kabisa maisha yako.Kivipi mkuu?
Kua na subra ipo siku tu utapata mwenye kukupenda wewe ulivyo .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana na imani hizo za kupata mpenzi na uchawi wa mganga..utalipia gharama kubwa na unaweza haribu kabisa maisha yako.Kivipi mkuu?
Genye zitaniua mkuu Sina namnaAchana na imani hizo za kupata mpenzi na uchawi wa mganga..utalipia gharama kubwa na unaweza haribu kabisa maisha yako.
Kua na subra ipo siku tu utapata mwenye kukupenda wewe ulivyo .
11una miaka mingapi
Picha ya nini?tuma picha tuangalie tatizo liko wapi we kiruu
Ndiyo!Vitabu vitakatifu vinasema upo,je unapingana navyo?
Au anatongoza wa type 1Sema hapo kwenye 16 wote wamechomoa kwann wote wachomoe au hujui kutongoza mkuu
Tongoza unaye endana nae, unakuta huna pesa kama unavyosema, huna muonekano alafu unaenda kutongoza Miss Tanzania.Genye zitaniua mkuu Sina namna
Tatizo pesa mkuu hata ninaoendana nao wananiona sio type yaoTongoza unaye endana nae, unakuta huna pesa kama unavyosema, huna muonekano alafu unaenda kutongoza Miss Tanzania.
Wanawake wanalia kibao makanisani wapate tu mtu wakumuita baby, tafuta mazingira ya kukutana na ambao wana uhitaji na mapenzi.
Tafuta pesa , matatizo yako yataisha mambo ya kuroga waachie wachawi.Tatizo pesa mkuu hata ninaoendana nao wananiona sio type yao
Kuna jamaa tulisoma nae chuo nazan alikuwa na dawa unayoisema wewe.Daaa!Hizo zingine sasa hata hazifai
Nasikia ipo ya kuwatafuna kwa kutumia nguvu za giza (uchawi)wakiwa usingizini,halafu mhusika akiamka anajua kabisa fulani kanitafuna,nataka niwatafune wote walionikataa.
Sina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia?
Kuna jamaa yangu ananiambia anahisi mkewe ni mchawi, kwasababu hakuwahi kumpenda wala kumtamani lakini leo hii ndiye mke wake,ni baada ya kuota amemuoa nayeye kutaka kuipima ndoto.
Tafta pesa tu ndo mchawi utaanza kuambiwa Pillato we handsome, pillato una kifua kizuri.Sina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia?
Kuna jamaa yangu ananiambia anahisi mkewe ni mchawi, kwasababu hakuwahi kumpenda wala kumtamani lakini leo hii ndiye mke wake,ni baada ya kuota amemuoa nayeye kutaka kuipima ndoto.
Kuna jamaa tulisoma nae chuo nazan alikuwa na dawa unayoisema wewe.
Maana kuna mademu kibao walikuwa wanasema jamaa anakuwa anawagonga usiku,kuna kibinti kimoja kiliwahi muwakia asubuhi kikimtuhumu kuwa kakiingilia usiku
Na wanadai walikuwa wanajikuta wamechafuka kabisa sehemu za siri
Jamaa alikuwa kilema ila anaweza kutembea,ni mkazi wa shinyanga
Usiende na hio imani, pambana, ukiwa unapambana mwanamke atavutiwa na wewe maana ataamini sasa hauna ila miaka ya mbele Mungu akiwajalia kwa juhudi zako basi mtafanikiwa. Pia sali sana, hiki ndio kipindi chako cha kuwa karibu na Mungu wako, nyota yako itang'aa wahuni watasema umetumia ndumba kumbe sala.Tatizo pesa mkuu hata ninaoendana nao wananiona sio type yao