Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Mkuu wanawake wa sasa sisi ni matatizo sana.....jaribu kuangalia mwanamke anaeendana na ww tofaut na hvo utafanyiwa vitukoSina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia?
Kuna jamaa yangu ananiambia anahisi mkewe ni mchawi, kwasababu hakuwahi kumpenda wala kumtamani lakini leo hii ndiye mke wake,ni baada ya kuota amemuoa nayeye kutaka kuipima ndoto.
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app