Mkuu wanawake wa sasa sisi ni matatizo sana.....jaribu kuangalia mwanamke anaeendana na ww tofaut na hvo utafanyiwa vitukoSina pesa sio handsome na hata six pack Sina, mpaka naandika uzi wanawake 16 wamenikataa, nimekuja kwenu nipate kujua ukweli kuhusu hizi za dawa za mvuto (uchawi) je ukweli zinasaidia?
Kuna jamaa yangu ananiambia anahisi mkewe ni mchawi, kwasababu hakuwahi kumpenda wala kumtamani lakini leo hii ndiye mke wake,ni baada ya kuota amemuoa nayeye kutaka kuipima ndoto.
Mkuu, unaingizwa cha kike!! Hiyo dawa kijijini kwetu ipo, kinachofanyika ni kuwa unalala na mizimu (roho za wafu wa jinsia tofauti na yako) sema wao wanachukua sura za yule unaemtaka! Na huyo halisi unaemtaka anatengenezewa ndoto tu ya ushahidi lakini haathiriki kwa chochote!Daaa!Hizo zingine sasa hata hazifai
Nasikia ipo ya kuwatafuna kwa kutumia nguvu za giza (uchawi)wakiwa usingizini,halafu mhusika akiamka anajua kabisa fulani kanitafuna,nataka niwatafune wote walionikataa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa uchawi huyo yeye hana.Uchawi ni Tigopesa na Mpesa
Sasa hapo unapataa raha gan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daaa!Hizo zingine sasa hata hazifai
Nasikia ipo ya kuwatafuna kwa kutumia nguvu za giza (uchawi)wakiwa usingizini,halafu mhusika akiamka anajua kabisa fulani kanitafuna,nataka niwatafune wote walionikataa.
Ukiwapitia gizani watajileta wenyewe nuruni,hizo dawa zake mpaka nimeogopa bora niendelee kuwa mnunuzi nikipata 10,000 naenda kupata huduma maisha yanaendelea.Sasa hapo unapataa raha gan? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Msikilze huyo aliyekuambia kuhusu dawa za kienyeji zipo sana.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kumbe utelezi unapata sasa shida ya nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukiwapitia gizani watajileta wenyewe nuruni,hizo dawa zake mpaka nimeogopa bora niendelee kuwa mnunuzi nikipata 10,000 naenda kupata huduma maisha yanaendelea.
Ikishakuwa hivyo je huyo aliyetengenezewa ndoto ya kuwa na mimi hawezi kunitafuta ili tufanye kweli?Mkuu, unaingizwa cha kike!! Hiyo dawa kijijini kwetu ipo, kinachofanyika ni kuwa unalala na mizimu (roho za wafu wa jinsia tofauti na yako) sema wao wanachukua sura za yule unaemtaka! Na huyo halisi unaemtaka anatengenezewa ndoto tu ya ushahidi lakini haathiriki kwa chochote!
Hata wewe unaeenda kula hiyo mizimu unatengenezewa kitu kinaitwa false awakening, yaani unaamka kwenye ndoto ila wewe unajiona kama umeamka kweli, kisha unamfuata huyo msichana unaemtaka kwao, unabisha hodi anakufungulia, unamla hapohapo!! Unaweza kumpeleka hata masaa 6 hivi!! Ila in reality unakuwa una sex na roho za wafu (mizimu) hata huko unakokwenda ni makaburini, wala sio kwao na huyo msichana!! Msichana anatengenezewa ushahidi tu, nao ni wa ndoto!!
Kama ukihitaji hiyo dawa nishtue tuifuate Pemba, nauli juu yako!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Inategemeana na msichana mwenyewe!! Kwa kuwa kwenye ndoto anayotennezewa, hakuna raha au maumivu anayoyapata, all in all ni ndoto kwake!! Hata kuchoka haipo iyo!!Ikishakuwa hivyo je huyo aliyetengenezewa ndoto ya kuwa na mimi hawezi kunitafuta ili tufanye kweli?
Ohoooo basi nimeshaghaili ,nitaendelea kuwa mwanachama hai wa chama kileInategemeana na msichana mwenyewe!! Kwa kuwa kwenye ndoto anayotennezewa, hakuna raha au maumivu anayoyapata, all in all ni ndoto kwake!! Hata kuchoka haipo iyo!!
Wewe ndo unakuwa unahisi kila kitu kuhusu kufanya mapenzi!! Sema tu ni mzimu unaofanya nao!! Ukizoea lakini unahama level ya mizimu unaanza kula majini!!
Sasa ukiskia mwanaume hana hisia na watoto wa kike ndo inaanzia level hii, level 7.
Hapo ndo utakuta unapata familia kwenye ndoto!!
Na mtoto juu!!!
Ulifanikiwa kuwatafuna mkuu pilato?Daaa!Hizo zingine sasa hata hazifai
Nasikia ipo ya kuwatafuna kwa kutumia nguvu za giza (uchawi)wakiwa usingizini,halafu mhusika akiamka anajua kabisa fulani kanitafuna,nataka niwatafune wote walionikataa.
Hahahah hatari sanaKuna jamaa tulisoma nae chuo nazan alikuwa na dawa unayoisema wewe.
Maana kuna mademu kibao walikuwa wanasema jamaa anakuwa anawagonga usiku,kuna kibinti kimoja kiliwahi muwakia asubuhi kikimtuhumu kuwa kakiingilia usiku
Na wanadai walikuwa wanajikuta wamechafuka kabisa sehemu za siri
Jamaa alikuwa kilema ila anaweza kutembea,ni mkazi wa shinyanga
Duuh dunia ina mamboMkuu, unaingizwa cha kike!! Hiyo dawa kijijini kwetu ipo, kinachofanyika ni kuwa unalala na mizimu (roho za wafu wa jinsia tofauti na yako) sema wao wanachukua sura za yule unaemtaka! Na huyo halisi unaemtaka anatengenezewa ndoto tu ya ushahidi lakini haathiriki kwa chochote!