Abdull hameed
Senior Member
- Jan 29, 2025
- 126
- 230
Sure..Ni nyingi sana na hazihusishi tumbo kuuma mf:gas tumboni,kujamba mara kwa mara hasa ukila kidogo tu,kizunguzungu,kiungulia ,uchovu mwingi asubuhi na jioni,tumbo kuwa la moto,kukosa hamu ya kula,kupata shida ya kupumua hasa usiku
💯✅Sahihi kabisaSaa nyingine unaweza kuhisi unaumwa kifua upande wa kushoto juu ukafikiri ni moyo au wakati mwingine unaweza kuhisi hofu kali sana lakini hujui unachoogopa...
yani hii ndiyo shida yangu. tumbo haliniumi lkn nikinywa soda au dagaa au limao tumbo linajaa sana natoa sana ushuz nakuwa na hofu sana na sijui nahofia nini yani nakosa hadi amani.nilienda benjamini mkapa wakanipima wakanambia ni vidonda vya tumbo wakanipa dawa nyingi lkn zimedunda nahitaji msaada kwa kweliSaa nyingine unaweza kuhisi unaumwa kifua upande wa kushoto juu ukafikiri ni moyo au wakati mwingine unaweza kuhisi hofu kali sana lakini hujui unachoogopa...
Peke la paracgichi yaani ile mbegu ya ndani, katakata vipande vidogo vidogo, anika kwenye kivuli, then blend au twanga kwenye kinu.yani hii ndiyo shida yangu. tumbo haliniumi lkn nikinywa soda au dagaa au limao tumbo linajaa sana natoa sana ushuz nakuwa na hofu sana na sijui nahofia nini yani nakosa hadi amani.nilienda benjamini mkapa wakanipima wakanambia ni vidonda vya tumbo wakanipa dawa nyingi lkn zimedunda nahitaji msaada kwa kweli
ubarikiwe sanaPeke la paracgichi yaani ile mbegu ya ndani, katakata vipande vidogo vidogo, anika kwenye kivuli, then blend au twanga kwenye kinu.
Ule unga kijiko kidogo tumia kwa kuchanganya na asali asubuhi na jioni siku saba.
Pole
Hii inanikumba sana na inaninyima raha,sana. Ila kwa,Jina la YESU I'm improvingSaa nyingine unaweza kuhisi unaumwa kifua upande wa kushoto juu ukafikiri ni moyo au wakati mwingine unaweza kuhisi hofu kali sana lakini hujui unachoogopa...
Simama na Yesu huyo huyo mkuu,mimi mwenzio nagonga pilipili,maharage kila kitu,huyu Yesu ni wa ajabu sana...Hii inanikumba sana na inaninyima raha,sana. Ila kwa,Jina la YESU I'm improving
Hii mbinu nilipewa mahali mkuu hivi inasaidia au ,aliyewahi kutumia atume mrejeshoPeke la paracgichi yaani ile mbegu ya ndani, katakata vipande vidogo vidogo, anika kwenye kivuli, then blend au twanga kwenye kinu.
Ule unga kijiko kidogo tumia kwa kuchanganya na asali asubuhi na jioni siku saba.
Pole
Umetumia njia gani mkuu tupeane ushauriHii inanikumba sana na inaninyima raha,sana. Ila kwa,Jina la YESU I'm improving
Kama una tatizo hilo tumia,Hii mbinu nilipewa mahali mkuu hivi inasaidia au ,aliyewahi kutumia atume mrejesho
Sawa nitafanya hivo je ni parachichi za asili tu au hata za kienyejiKama una tatizo hilo tumia,
Najua peke la parachichi na bila shaka liwe la asili.Sawa nitafanya hivo je ni parachichi za asili tu au hata za kienyeji
Ahsantee Sanaa nitafanya hivo🙏Najua peke la parachichi na bila shaka liwe la asili.
Kila la heri. Upone.
Maombi, na pia nakazana kutumia/kunywa spices. Mdalasini, iliki, cloves nachanganya na asali. Na herbsUmetumia njia gani mkuu tupeane ushauri