Sulomy health care
Member
- Jan 17, 2025
- 36
- 11
Ndiyo ✅Mambo vipi wana jamvi, naomba kuuliza, kwa uchache sana. Hivi unaweza ukawa una vidonda vya tumbo halafu usiumwe na tumbo? (usipate maumivu) kama ni ndio naomba kwa ufupi sana dalili nyengine za vidonda vya tumbo
Unaweza kuwa na vidonda vya tumbo bila maumivu. Hii hutokea kwa baadhi ya watu.
Dalili zingine (mbali na maumivu):
Tumbo kujaa gesi au kuvimbiwa
Kichefuchefu / kutapika
Kukosa hamu ya kula, kupungua uzito
Kinyesi chenye damu au cheusi
Uchovu (kutokana na upungufu wa damu)
Kwa kuwasiliana na wataalamu wetu+255 626 908 654 / +255 718 958 410