Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kinyengo
Mafyulisi
Mang'ang'a
Matombolilo
Posolo
Katapera
Nguniani
Posolo ni Jembe KUBWA!Haya ni matunda na mboga ya kwao Kimwakaleli
Katapera ni parachichi, kinyakyusa!Posolo ni Jembe KUBWA!
Nguniani ni mboga ya majani ya maharage, kinyakyusa,mang'ng'a ni matunda flani madogodogo,matamu sana!Katapera ni parachichi, kinyakyusa!
Na nduguze wa Kunzombe na Lilinga.Haya ni matunda na mboga ya kwao Kimwakaleli
Kinyakyusa=kinyakusya!Kinyakusya
Posolo, matombolilo na kinyengo sijawahi kuyasikia. Nikayaunganisha humohumo kwenye matunda na mboga😁Posolo ni Jembe KUBWA!
Hahaha!Na nduguze wa Kunzombe na Lilinga.
Bila kuwasahau Songwe,Malawi na Zambia.Hahaha!
Nguniani nimewahi kuila, sema sikuipenda.Nguniani ni mboga ya majani ya maharage, kinyakyusa,mang'ng'a ni matunda flani madogodogo,matamu sana!
Mayombolilo Sijui,kinyengo Sijui, labda kikwao bujibuji nyamaume!Posolo, matombolilo na kinyengo sijawahi kuyasikia. Nikayaunganisha humohumo kwenye matunda na mboga😁
Hivi wandali ni Songwe eeh?Bila kuwasahau Songwe,Malawi na Zambia.
Mpishi atakuwa alikosea kuipika kama michicha!Nguniani nimewahi kuila, sema sikuipenda.
Nyengo huijui?Mayombolilo Sijui,kinyengo Sijui, labda kikwao bujibuji nyamaume!
Ileje Moja hao!Hivi wandali ni Songwe eeh?
Ooh! AsanteIleje Moja hao!
Ndio umoja wa kinyengo!Nyengo huijui?
Sio excavator?Katapera ni parachichi, kinyakyusa!