Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Kidogo cha wastani.Ndio umoja wa kinyengo!
Kidogo cha wastani.Ndio umoja wa kinyengo!
Je unaonaje ikiwa,katapila/caterpillar!?Sio excavator?
Excavator wanapita,Ikatapila!Sio excavator?
Kinyengo
Mafyulisi
Mang'ang'a
Matombolilo
Posolo
Katapera
Nguniani
Mpaka leo mafyulisi wanyaki wengi wanajua ni kiswahili.Kinyengo - mpira
Mafyulisi - peaches
Mang'ang'a - berries
Matombolilo - vyura wadogo
Posolo
Katapera - parachichi
Nguniani - sikumbuki ila nalijua Hilo neno
Zamani nilidhani ni kiswahili kumbe ni kilugha 😅
Matombolilo ni viluwiluwi?Matombolilo ni hatua ya ukuaji ya chura ambayo kwa kimombo yanaitwa Tadpole
huwa kama korokoro
View attachment 3642050
Matakapela ni Maparachichi
Mafyurisi nayajua hivyo hivyo kama mafyurisi
Nguniani ni majani ya maharage, yani kama yale majani ya kunde yanavyoliwa basi kule mbeya majani ya maharage ndio dili na yanaitwa jina la nguniyani.
Hayo yote ni maneno ambayo yanatumika kule Mbeya. Mfano huo mti wa mfyurisi ni nadra sana kule Isanga kuona ntyumba imekosa huo mti ndani.
Mlikuwa mnapata virutubisho!Nguniani, majani ya maharage. Wanyakyusa wanaoenda kuchanganya na maharage au kuunga na karanga. Tukiwa Kantalamba secondary, ilikuwa siku ya ugali maharage, ili kupata "appetite" ya dona, sisi tunachuma hayo majani bustani ya shule, kwa kificho tunachemsha, tunachanganya na maharage. Alitufundisha mnyakyusa mmoja hivi ni CPA sasa hivi wakuitwa Mponjori. 😊
kinyengo aka kinyengelo aka kinyaku nyakuKinyengo
Mafyulisi
Mang'ang'a
Matombolilo
Posolo
Katapera
Nguniani
Hebu tupe Kwa kiswahili,tukuamini!Mpaka leo mafyulisi wanyaki wengi wanajua ni kiswahili.
Sansa sio nguniyani ni majani ya kunde-Tbr-Shyawamu hii hayaitwi tena nguniyani, yanapewa jina jipya yanaitwa sansa.
Mlikuwa mnapata virutubisho!
Hahaha!Hebu tupe Kwa kiswahili,tukuamini!
Ni kweli.awamu hii hayaitwi tena nguniyani, yanapewa jina jipya yanaitwa sansa.
Sansa sio nguniyani ni majani ya kunde-Tbr-Shy
Nguniyani majani ya maharage-Mbeya
Yeah nakumbuka hadi watoto walikuwa wana wimbo wao wanaimba "wanakula matombolilo wanadai ni samaki mchanga"Matombolilo ni viluwiluwi?
Labda uniambie majani ya maboga ila kunde hapanaawamu hii hayaitwi tena nguniyani, yanapewa jina jipya yanaitwa sansa.
Sansa sio nguniyani ni majani ya kunde-Tbr-Shy
Nguniyani majani ya maharage-Mbeya
Kisukuma ni kipana sana sehemu nyingine wanaita lhumuNi kweli.
Nsasa ni mboga ya wanyamwezi na wasukuma (Majani ya kunde yaliyokaushwa), kuna nyingine wanaiita nswalu.
Nsasa ndo inaitwa ihumu?Kisukuma ni kipana sana sehemu nyingine wanaita lhumu
Hahaha!Yeah nakumbuka hadi watoto walikuwa wana wimbo wao wanaimba "wanakula matombolilo wanadai ni samaki mchanga"