Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

Matombolilo miaka hiyo nilidhani kambale wadogo

Mang'ang'a tulikuwa tunaita utongoni kwa kiswahili ni mulberries

Katapera ni parachichi

Hiyo kinyengo au kinyenga mpira wa maplastic

Mafyulisi uchagani wanaita sesu
 
Kinyengo - mpira
Mafyulisi - peaches
Mang'ang'a - berries
Matombolilo - vyura wadogo
Posolo
Katapera - parachichi
Nguniani - sikumbuki ila nalijua Hilo neno

Zamani nilidhani ni kiswahili kumbe ni kilugha 😅
Mkambokambo je?
 
Kinyengo- mpira wa makaratasi
Mafyulisi - peaches 🍑
Mang'ang'a -mulberry
Matombolilo- viliwiluwi vya chura
Posolo- chepe wakati mwingine jembe. kubwa
Katapera- parachichi
Nguniani- mboga ya majani ya maharage
Mapululilo- maranda ya mbao
Mkambokambo- mti wa Christmas 🎄 Cyprus Tree
Mapohora- mapasheni
Mang'ela- wadodo wanaotoboa mbao za. dari
Mabangayeye- alizeti
Migagi- mabua ya mahindi huliwa kama. miwa
Vitindi/ kitindi- sehemu ya juu ya muwa. yenye majani, haina ladha tamu.
Kipumilo- komwe, kipandauso
 
Kinyengo
Mafyulisi
Mang'ang'a
Matombolilo
Posolo
Katapera
Nguniani
Mapululilo
Mkambokambo
Mapohora
Mang'ela
Mabangayeye
Migagi
Vitindi/ kitindi
Kipumilo
Mafyulisi (Kihehe/kikinga)= pichesi (kiswahili)
Katapera(kiswahili) = Stafeli(soap fruit -kingereza.)
Migagi (kihehe) = shina la mhindi (Maize plant) huliwa kama muwa.
Vitindi/kitindi(Kihehe/kibena/kipangwa)= shina la aina ya mianzi inayogemwa ulanzi.
 
Kipago/ Kimpago je?
 
Matombolilo miaka hiyo nilidhani kambale wadogo

Mang'ang'a tulikuwa tunaita utongoni kwa kiswahili ni mulberries

Katapera ni parachichi

Hiyo kinyengo au kinyenga mpira wa maplastic

Mafyulisi uchagani wanaita sesu

In Zimbabwe, people commonly call avocados "avocado," "avo," or "makotapeya" (derived from the English word) in the Shona language.

Names for Avocados
    • English/Common usage: Avocado or simply "avo" in everyday speech.
    • Shona: Makotapeya (or kotopeya).
 
Back
Top Bottom