Je, unayafahamu maneno haya? Ni lugha gani?

Matombolilo miaka hiyo nilidhani kambale wadogo

Mang'ang'a tulikuwa tunaita utongoni kwa kiswahili ni mulberries

Katapera ni parachichi

Hiyo kinyengo au kinyenga mpira wa maplastic

Mafyulisi uchagani wanaita sesu
 
Posolo, matombolilo na kinyengo sijawahi kuyasikia. Nikayaunganisha humohumo kwenye matunda na mboga😁
Yaani hapo ni matusi kabisa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„
 
Kinyengo - mpira
Mafyulisi - peaches
Mang'ang'a - berries
Matombolilo - vyura wadogo
Posolo
Katapera - parachichi
Nguniani - sikumbuki ila nalijua Hilo neno

Zamani nilidhani ni kiswahili kumbe ni kilugha πŸ˜…
Mkambokambo je?
 
 
Kinyengo
Mafyulisi
Mang'ang'a
Matombolilo
Posolo
Katapera
Nguniani
Mapululilo
Mkambokambo
Mapohora
Mang'ela
Mabangayeye
Migagi
Vitindi/ kitindi
Kipumilo
Mafyulisi (Kihehe/kikinga)= pichesi (kiswahili)
Katapera(kiswahili) = Stafeli(soap fruit -kingereza.)
Migagi (kihehe) = shina la mhindi (Maize plant) huliwa kama muwa.
Vitindi/kitindi(Kihehe/kibena/kipangwa)= shina la aina ya mianzi inayogemwa ulanzi.
 
Kipago/ Kimpago je?
 
Matombolilo miaka hiyo nilidhani kambale wadogo

Mang'ang'a tulikuwa tunaita utongoni kwa kiswahili ni mulberries

Katapera ni parachichi

Hiyo kinyengo au kinyenga mpira wa maplastic

Mafyulisi uchagani wanaita sesu






In Zimbabwe, people commonly call avocados "avocado," "avo," or "makotapeya" (derived from the English word) in the Shona language.

Names for Avocados
    • English/Common usage: Avocado or simply "avo" in everyday speech.
    • Shona: Makotapeya (or kotopeya).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…