I am Groot
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,929
- 10,747
Binadamu wote wamezaliwa na haki sawa na uhuru wa kimsingi. Katika tamko la haki za binadamu, umoja wa mataifa umeeleza kwa lugha rahisi kabisa haki ambazo zinampasa kila mtu kuwa nazo na kwa usawa. Hizi haki ni zako. Haki hizi ni mali yako, zijue haki hizi, saidia kuzieneza na kuzitetea kwa ajili yako na kwa ajili ya binadamu wengine.
IBARA YA 1:
Binadamu wote wamezaliwa huru na kwa haki sawa katika hadhi na haki. Wametunukiwa kwa ufahamu na hisia na wanapaswa kuchukuliana katika hali ya kindugu.
IBARA YA 2:
Kila mtu anastahili kupata haki na uhuru ulioelezwa katika tamko hili bila kujali tofauti za kiasili, rangi, jinsia, lugha, dini, siasa na maoni mengine, utaifa au asili ya kijamii, mahali pa kuzaliwa au hali nyingine yoyote. Zaidi ya hapo hakuna ubaguzi utakaofanyika kwa sababu za kisiasa, mamlaka za kisheria au hadhi ya kimataifa ya nchi ambayo mtu anatoka, bila kujali kama nchi hiyo ni huru au unatawaliwa bado.
IBARA YA 3:
Kila mtu ana haki ya kuishi, kuwa huru na kulindwa utu wake.
IBARA YA 4:
Hakuna mtu atakayewekwa utumwa au hali ya kitumwa, utumwa na biashara ya utuma vinakatazwa katika aina zake zote.
IBARA YA 5:
Hakuna mtu anayepaswa kupata mateso au ukatili au kutendewa katika hali ambayo itamdhalilisha au kumshushia hadhi yake au kuadhibiwa.
IBARA YA 6:
Kial mtu ana haki ya kutambuliwa kama binadamu mbele ya sheria.
IBARA YA 7:
Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanapaswa kulindwa na sheria bila ubaguzi.Wote wanapaswa kulindwa sawa dhidi ya ubaguzi ambao unapinana na tamko hili au uchochezi utakaopelekea kuleta ubaguzi wa aina hiyo.
IBAR YA 8:
Kila mtu ana haki ya kupatiwa ufumbuzi kwenye vyombo vya sheria vya taifa kwa matendo yoyote yanayomnyima haki zake za msingi zilizotolewa na katiba ya nchi au sheria.
IBARA YA 9:
Hakuna mtu atakaefungwa ama kuwekwa kizuizini au kuhamishwa nchini kinyemela ( bila mpango au kufuata sheria.)
IBARA YA 10:
Kila mty anastahili kusikilizwa kwa haki na usawa mbele ya vyombo vya sheria visivyo vya kibaguzi katika kuamua haki na wajibu wake na kwenye kusikilizwa kwa kosa la jinai analoshtakiwa.
IBARA YA 11:
(i) Mtu yeyote atakaeshtakiwa kwa kosa la jinai atahesabiwa kuwa hana hatia mpaka pale itakapothibitika kisheria mbele ya sheria kwenye mahakama ya wazi akiwa amejitetea.
(ii) Hakuna mtu atakaepatikana na hatia kwa jambo ambalo si kosa mbele ya sheria kwenye sheria za nchi au za kimataifa wakati wa alipotenda jambo hilo. Pia mtu yeyote hapaswi kupewa adhabu kubwa kuliko ile iliyotajwa kisheria wakati alipokosa.
IBARA YA 12:
Hakuna mtu atakae ingiliwa katika faragha yake, familia, nyumbani kwake au mawasiliano yake wala hakuna mtu atakaeshambuliwa hadhi yake au heshima aliyonayo. Kila mtu ana haki ya kulindwa na sheria dhidi ya kuingiliwa au kushambuliwa huko.
IBARA YA 13:
(1) Kila mtu ana haki ya kwenda atakako na kuishi katika mipaka ya nchi yake.
(2) Kila mtu ana haki ya kuondoka nchi yoyote hata katika nchi yake na pia haki ya kurejea katika nchi yake.
IBARA YA 14:
(1) Kila mtu ana haki ya kufaidi higadhi dhidi ya kuuawa katika nchi nyingine.
(2) Haki hii haitakuwepo pale ambapo mtu amehukumiwa kwa mujibu wa sheria kwa makosa yasiyo ya kisiasa au kwa matendo kinyumr na malengo na misingi ya Umoja wa Mataifa.
IBARA YA 15:
(1) Kila mtu ana haki ya uraia.
(2) Hakuna mty atakayenyimwa uraia au haki ya kubadili uraia bila sababu.
TAMBUA HAKI YAKO TUKUTANE SEHEMU 2.