Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.
me wangu ana sura mlegezo.
Unajua maana ya kila sura? Tufafanulieni jinsi kila sura hiyo ilivyo ili tujue tuna sura gani.hahahahahahahahah lol
Sura Chachu, Sura Chungu, sura kavu,sura ngumu
hahahahha dahh umenichekesha kwa kweli
me wangu ana sura mlegezo.
Unafanya nini hadi saa 2:23AM? Kwani President yuko kundi lipi?Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.
sura mlegezo ni kama ya marehemu michael jackson au kama ya elton john.upo hapo?Ndio ikoje?
Orite....ulikua unatafiti sura?
!.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........!
Even RREti eee!
Orite....ulikua unatafiti sura?
!.........NEVER TRUST A MAN EVEN A DEAD ONE........!
Subiri wanaofuatilia mambo yasiyo na maana wanaweza wakakujibu. Mmimi ni mpita njia tu kwenye mitaa hii.
Eti eee!
ah ah ah very true kabisaaa,ungekuwa karibu ningekupa..............,lol kweli they say man are dogs to me some are bull dogs and some are very swty and clean puppy!
Nahusika sana hapo and you know itah ah ah very true kabisaaa,ungekuwa karibu ningekupa..............,lol kweli they say man are dogs to me some are bull dogs and some are very swty and clean puppy!