Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid.
Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :-
wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na wachache sura telezi.
kwa anayefahamu zaidi naomba anisaidie kunielewesha kwani natamani kujua zaidi juu ya hizi sura za hawa wenzetu maana nimesikia sura zao hujengeka kutokana na tabia za mazoea kama ukali, ubabe,hasira n.k na kamwe hazihusiani na uumbaji wa Muumba.