Je,ungependa jicho pevu lifanye uchunguzi juu ya mauaji ya Hamza na Polisi?

Je,ungependa jicho pevu lifanye uchunguzi juu ya mauaji ya Hamza na Polisi?

King Sae

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2018
Posts
3,282
Reaction score
6,471
aj


Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali.

Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
 
Hapo hakuna kupenda wala kupendwa wala nini, hao jamaa waendelee na uchunguzi huo, ili tuone kwa nini Hamza aliwatageti polisi tuuuuuuu, na wala si raia wa kawaida!??? Hao wasingoje mpaka sisi tupende; wafanye kazi yao kwa weledi na uzalendo na utu.
 
Back
Top Bottom