King Sae JF-Expert Member Joined Mar 22, 2018 Posts 3,282 Reaction score 6,471 Aug 28, 2021 #1 aj Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali. Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
aj Binafsi jibu ni ndio...huyu jamaa na timu yake wapo vzuri katka kufunya uchunguzi na katka kudadavua ukweli ....bila kuiogopa serikali. Naamini adi sasa tungejua mbivu na mbichi,but waandishi wa Sasa tz wengi waoga sanaa..
GIRITA JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 4,432 Reaction score 5,864 Aug 28, 2021 #2 Cc jerymuro alitulizwa na bistool akahamia kabisa mbogani.
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Aug 28, 2021 #3 Hapo hakuna kupenda wala kupendwa wala nini, hao jamaa waendelee na uchunguzi huo, ili tuone kwa nini Hamza aliwatageti polisi tuuuuuuu, na wala si raia wa kawaida!??? Hao wasingoje mpaka sisi tupende; wafanye kazi yao kwa weledi na uzalendo na utu.
Hapo hakuna kupenda wala kupendwa wala nini, hao jamaa waendelee na uchunguzi huo, ili tuone kwa nini Hamza aliwatageti polisi tuuuuuuu, na wala si raia wa kawaida!??? Hao wasingoje mpaka sisi tupende; wafanye kazi yao kwa weledi na uzalendo na utu.
Mr. MTUI JF-Expert Member Joined Feb 18, 2013 Posts 8,130 Reaction score 8,362 Aug 28, 2021 #4 Kwani anaendelea huyo jamaa
Abuu Abdurahman JF-Expert Member Joined May 9, 2017 Posts 1,448 Reaction score 1,790 Aug 29, 2021 #5 Ali Mohd
Haifungiki JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 3,076 Reaction score 14,775 Aug 29, 2021 #6 Jicho pevu ameyaweza ya kwake 🤣 🤣🤣🤣
Girl named Tom grande JF-Expert Member Joined May 16, 2020 Posts 292 Reaction score 225 Aug 29, 2021 #7 Jicho pevu gani,hii ya kenya ama????, Kwa taarifa yenu mzee baba kahamia siasa sasa ni mbunge