Wana JF kwa kipindi kifupi sana ( Chini ya miezi 3) tutashuhudia kiti cha waziri mku kuongoza nchi ya Wingereza-UK kimekuwa kaa la moto.
Wawili tayari wamejiudhuru ( Borison na jana ameng'oka Liz Truss ) na next week anachaguliwa waziri mku mwingine wote kutoka chama tawala cha Conservative Party.
Lakini chama cha upinzani cha Labour party kinasema hapana, tuingie uchaguzi mku tupate mabadiliko katika kuiongoza nchi ya UK.
Sasa, wewe ungekuwa na urafiki wa karibu na waziri mku ajae, ungemushauri afanye nini kama waziri mku ili adumu kwenye kiti hicho kinachowaka moto?