Yaani kama kuna uwezekano, inabidi ajiuzulu kabla hajachaguliwa au kupigiwa kura!Wana JF kwa kipindi kifupi sana ( Chini ya miezi 3) tutashuhudia kiti cha waziri mku kuongoza nchi ya Wingereza-UK kimekuwa kaa la moto.
Wawili tayari wamejiudhuru ( Borison na jana ameng'oka Liz Truss ) na next week anachaguliwa waziri mku mwingine wote kutoka chama tawala cha Conservative Party.
Lakini chama cha upinzani cha Labour party kinasema hapana, tuingie uchaguzi mku tupate mabadiliko katika kuiongoza nchi ya UK.
Sasa, wewe ungekuwa na urafiki wa karibu na waziri mku ajae, ungemushauri afanye nini kama waziri mku ili adumu kwenye kiti hicho kinachowaka moto?
You are right. Unajua mku hapa kama chama cha siasa cha Conservative Party bado kinafuata mwelekeo wa kuambiwa cha kufanya na Amerika, bado waziri mku anaekuja atajiuzulu mapema sana.Yaani kama kuna uwezekano, inabidi ajiuzulu kabla hajachaguliwa au kupigiwa kura!
Yaani ni kama mtu una predict kuwa utakuja kufanya kosa kule mbele, halafu unaamua kutangulia jela. Unafika gerezani wanakuuliza kwa nini wewe umekuja hapa; unawajibu kuwa kwa sababu miezi mitatu mbele lazima ningeiba na lazima ningekamatwa na kufunguliwa mashtaka na kufunngwa; na hivyo nimeona bora niwahi jela mwenyewe
Siasa za Uingereza ni moto wa kuotea mbali mimi nimeziogopa mno; kuna uwezekano baadhi ya watu wataacha kabisa Siasa Uingereza
Huyu mtu Nyani Ngabu alienda wapi atupe mchango wake katika hili?
Kwenye matangazo ya "BBC Leo Jioni" jana jioni, nilicheka mmno. Wanasiasa wa Uingereza wanachekesha sana.You are right. Unajua mku hapa kama chama cha siasa cha Conservative Party bado kinafuata mwelekeo wa kuambiwa cha kufanya na Amerika, bado waziri mku anaekuja atajiuzulu mapema sana.
Wanasahau kwamba wananchi wao wana shida ya Mafuta na Gesi alafu viongozi wanapuuzia na kwendelea kuweka vikwazo kwenye biashara za Urusi, Sasa unategemea nini?