Je, uongozi wa Roman Catholic ni 'ndumilakuwili' au huyu Papa tumepandikiziwa? Tutegemee nini?

Haya , leo mtanielewa, narudia tena.

IMANI NDIO UGONJWA MBAYA KABISA WA AKILI KUWAHI KUIKUMBA HII DUNIA.
 
Papa ni sauti ya Mungu!!
 
Wafuasi wa Roma, umefungwa huko? Ulikuwa hujaielewa kanisa la watu. Tunawaambia hilo ni kikundi cha wajanja hamuelewagi. Nyie wajinga endeleeni kuliwa na wajanja
 
waroma 1:26 Ndiyo sababu Mungu aliwaacha katika hamu isiyodhibitiwa ya ngono, kwa maana wanawake wao walibadili matumizi yao ya asili kuwa kinyume cha asili; 27 vivyo hivyo pia wanaume waliacha matumizi ya asili ya mwanamke na kuwakiana tamaa kali za uchu wao kwa wao, wanaume kwa wanaume, wakitenda mambo machafu na kupokea ndani yao wenyewe adhabu kamili, kwa sababu ya kosa lao.

Mambo ya walawi 20:
13 “‘Mwanamume akilala na mwanamume mwenzake kama vile mwanamume anavyolala na mwanamke, wote wawili wamefanya jambo linalochukiza. Ni lazima wauawe. Watakuwa na hatia kwa sababu ya vifo vyao wenyewe.

Yuda 7 Vivyo hivyo, watu wa Sodoma na Gomora na majiji ya karibu walifanya uasherati wa kupindukia na kufuatilia tamaa za mwili zilizo kinyume cha maumbile; wamewekwa mbele yetu kama onyo kwa sababu walihukumiwa adhabu ya moto wa milele.

Biblia iko wazi na ni wazi katoliki haifuati wala haina nia ya kuheshimu Biblia na hawakuanza leo tangu zamani walipinga Biblia
 
Duuh ko hapa tz kina aunt ruu wanasubr tuu kuidhinishwa[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km ni catholic bas mtawaona wakiwa na shela wakipata baraka altareni mbele ya askofu

Watu weuweeeee
 
[emoji38][emoji38][emoji23][emoji23] Papa kachafua Hali ya hewa kuelekea x-mass! Kazi ipo!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wanaoteseka ni waumini uchwara wa Bongo land, mbna mataifa mengine wako kimya na wanaona poa tyuuh.
 
Naamini hili nalo litapita, Mwenyezi Mungu yu pamoja nasi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km ni catholic bas mtawaona wakiwa na shela wakipata baraka altareni mbele ya askofu

Watu weuweeeee
Ila halii so nzurii mtaani kabisaa sema ndo hivo ata huyo papa kusema bdo lkn km watu wanawaza huo mchezo ndo ttzo
 
Mmh kwan ujaelewa hapo
Sijaelewa tuungane wakatoliki wa tanzania prke yake au dunia nzima.
Dini yao wazungu unataka kupingana nao who are you?
 
Sijaelewa tuungane wakatoliki wa tanzania prke yake au dunia nzima.
Dini yao wazungu unataka kupingana nao who are you?
Tuungane mimi na wewe😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…