Je upo tayari kuwepo katika kamati ya Maridhiano?

heartbeats

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
8,042
Reaction score
13,383
Wanatafutwa mbuzi wa kafara, wakuangushiwa lawama gavo ipo tayari kuwalipa chochote hawa mbuzi wa kafara..

Kuwapo ktk kamati ya maudhiano ni kutake risk ya uhai wako au familia yako kwa vipande vya pesa.

Najuwa watatafutwa wafiwa feki,waliopoteza mali feki,na wasanii wasio n haya, na viongozi wenye tamaa na baadhi ya wazee wasio na busara pamoja na viongozi wa dini wenye uchu wa pesa

Sasa hao watakao kuwa katika kamati wapo tayari waguswe direct au ziguswe familia zao yani mmoja wa mwanafamilia either mtoto auwawe kinyama alafu mwili wake uchomwe usipewe ata majivu then maridhiano ndo yaanze,

Hapo hapo ukiwa ktk kikao cha maridhiano upate notificatin nyumba yako inaungua na watoto wamefungiwa ndani je utaendelea na kikako au utaanza kuangua kilio na kuharibu kikao

Hapo hapo ukiwa ktk maridhiano unapata sms kwamba sali sala zako za mwisho leo lazima ufe hapo hapo unatumiwa picha ya mwanao ameuwawa kinyama kumbuka ushaa undergo menopause kikao kitaendelea kweli?

Katika maridhiano uwezi kwepa kukiri kwamba watu wameuwawa kinyama na miili yao kuteketezwa/kutupwa bila utu ,hawa hawa wanaofunika kombe ndo watakuja ktk maridhinao kusema nini cha kujenga

Utasema wanachi mtusamehe kwa uharibifu uliotokea na waliopoteza maisha. Uharibifu utaonesha picha ila walipoteza maisha hutoonyesha hayo maridhiano gani

Lazima mkiri na muwajibike kwa yote yaliyotokea Nchi ni bora kuliko kikongwe na ajuza mmoja wa miaka 70. Nitashangaa sana kuona mtu akienda risk familia yake kwa ajili ya maudhiano, uyo kibibi hana miaka 20 mbele huu utawala hauna zaid ya miaka 5.1 mbele

Mwacheni amalizane na wanachi wake mwenyewe na hao polisi hawana akili kama shida ni pesa si mngesema sio muuwe watu kwasababu ya pesa

Mgewapa wanachi njia bora ya kuandamana kuliko kuwauwa mpate ml5 , mgetafuta tawi moja la benki mgeenda mkachukua billion zenu kadhaa mkagawana alafu mkawaacha wananchi kuliko kuwauwa kama si kisasi ni nini
 
Mgewapa wanachi njia bora ya kuandamana kuliko kuwauwa mpate ml5 , mgetafuta tawi moja la benki mgeenda mkachukua billion zenu kadhaa mkagawana alafu mkawaacha wananchi kuliko kuwauwa kama si kisasi ni niniView attachment 3500561
Hapana samia kaingia madarakani kwa mtu mtu wa bunduki
 
si mshashinda, mko madarakani. Maridhiano ya nini?
Kila mtu afanye yake mnahangaika na nini
 
Kuridhiana waridhiani na rupia wapeane lakini lazima watu wawajibike (hio ndio rahisi zaidi) kila aliyepoteza ndugu yake (watanzania wote ni ndugu kwahio hata mimi wale ni ndugu zangu) sitakuwa na utulivu mpaka nione watu wamepigwa pingu kwa hii issue (na nikisema watu ni wenye wadhifa / kwenye system) na sio hawa waliofunguliwa makesi ya Uhaini
 
Ata kama wamekufa watu lakini kwa Hali tuliyonayo lazima maridhiano yafanyike, kinacho takiwa ni watu sahihi wa kukaa kwenye meza ya Maridhiano.

Kama Mandela pamoja na mauaji ya ma elfu ya raia alikubali maridhiano si vibaya na sisi tukae kwenye maridhiano.
Hatuitaji wafe maelfu ya watu ndio tukae kwenye maridhiano, Serikali iliyopo na kwa namna serikali za kiafrika zilivyo.

Wanao uwezo wa kutuongoza kwa Mkono wa chuma mpaka pale Mungu atakalo ingilia kati.

Tumeona Rwanda, Uganda n.k zote izo zinaongozwa kwa Mkono wa Chuma kwa miaka mingi na mauaji ya watu wengi na izo serikali na vyama vyao Bado zipo na haijulikani zitatoka lini.

Tusifanye upuuzi wa kukataa kila kitu kama ilivyokua katika Katiba ya warioba.

yale mapendekezo ya Katiba ya warioba tunge kubaliana nayo tusinge fikia hapa tulipo.

Nashauri tuingie kwenye ayo makubaliano na watu sahihi tuone nini kitapatikana

Mambo ya kutunishiana misuli wakati Mwenzako kashika mpini wewe umeshika makali vijana watakufa kwenye maandamano na Bado hakutakua na kitu cha maana tutakacho vuna.

Nchi zinazo tawaliwa kwa mkono wa chuma uwa hazitoi hii nafasi marakwamara , tuitumie sasaivi kwakua imepatikana

Kujifanya wapambanaji, tunaingia kwenye mauaji na uharibifu wa mali na kukosa utulivu kama majirani zetu.

Ao wapinzani maisha Yao yatakua jela na uhamishoni mpaka mwisho wa maisha Yao.

Angalia Kiiza Besije wa Uganda yupo Mahabusu mpaka Leo Mzee, Boby wine ndio huyo.

Pale Rwanda wapinzani wanauawa mpaka uko ughaibuni waliopo jifucha, walio pale Rwanda wapo Magerezani.
Ni mifano iliyopo kwa majirani zetu kwaiyo tuchague Nini tunataka.

Izo Nchi zilizo katika matatizo pia ni Nchi kama ilivyo Tanzania kwaiyo tusijione Special, tunatakiwa tuchukue hatua.
 
Kabisa sisi ni ndugu na undugu wetu si wa kinafiki
 
Unataka kufananisha Tz na nchi zingine hiyo haipo, Rwanda hakuna machafu sana kama haya yanayofanywa na hii serikali tena ya wazi, RW wapo radhi kuingia Congo kuiba madini kwa ajili ya wananchi wake kwa taarifa yako Kg anapendwa na Rwandese wote uyu bibi enu hapendwi adi na mtot wa miaka 5.

Waliombwa maridhiano before haya yote kutokea walifanya nini walikataa nasisi tukikataa sasa kuna ubaya gani
Gavo haijali yoyote treat that gavo the way it treat you
 
Aya mambo inategemea umesha yaona na kuya shuhudia kwa kiwango Gani na umeyaelewa kwa kiwango Gani.

Mifano mdogo ni Zanzibar, Maalimu Seifu na Viongozi wenzake walipambana kwa njia mbalimbali ili kupata haki na usawa kwa Zanzibar.
Walitumia Nguvu, busara n.k lakini vyote havikufanikiwa.

Wali susia uchaguzi, Walipambana kwenye box la kura, Walitumia platform za kimataifa n.k lakini njia zote hazikuzaa matunda.

Waliopo amua kukaa katika meza ya Mazungumzo iliwaletea faida/nafuu kuliko njia zingine.

Katika Mazungumzo walitengeneza makubaliano ya kitaifa yaliyo punguza misuguano na mauaji kwa kiwango kikubwa mno.
Sio kama dhulma Zanzibar haipo ila Kuna unafuu wa misuguano inayo pelekea mauaji kupungua

Kwakua misuguano Ina pungua Wapinzani Wana nafasi ya kutafuta njia Bora zaidi ya kubotesha haki zao uko mbeleleni kwa njia ya Mazungumzo.

Ninachotaka uelewe ni kua Izi Nchi zinazo Ongozwa kwa Mkono wa chuma zinaweza kuongoza ki babe kwa muda mrefu ikiwa wewe unataka au hutaki mpaka pale Mungu atakapo amua kuingilia kati.

CUF kule Zanzibar walitumia njia zote unazo zijua ila njia iliyoleta unafuu kwao ni Mazungumzo.
 
Ata kama wamekufa watu lakini kwa Hali tuliyonayo lazima maridhiano yafanyike, kinacho takiwa ni watu sahihi wa kukaa kwenye meza ya Maridhiano.

Kama Mandela pamoja na mauaji ya ma elfu ya raia alikubali maridhiano si vibaya na sisi tukae kwenye maridhiano.
Hatuitaji wafe maelfu ya watu ndio tukae kwenye maridhiano, Serikali iliyopo na kwa namna serikali za kiafrika zilivyo.

Wanao uwezo wa kutuongoza kwa Mkono wa chuma mpaka pale Mungu atakalo ingilia kati.

Tumeona Rwanda, Uganda n.k zote izo zinaongozwa kwa Mkono wa Chuma kwa miaka mingi na mauaji ya watu wengi na izo serikali na vyama vyao Bado zipo na haijulikani zitatoka lini.

Tusifanye upuuzi wa kukataa kila kitu kama ilivyokua katika Katiba ya warioba.

yale mapendekezo ya Katiba ya warioba tunge kubaliana nayo tusinge fikia hapa tulipo.

Nashauri tuingie kwenye ayo makubaliano na watu sahihi tuone nini kitapatikana

Mambo ya kutunishiana misuli wakati Mwenzako kashika mpini wewe umeshika makali vijana watakufa kwenye maandamano na Bado hakutakua na kitu cha maana tutakacho vuna.

Nchi zinazo tawaliwa kwa mkono wa chuma uwa hazitoi hii nafasi marakwamara , tuitumie sasaivi kwakua imepatikana

Kujifanya wapambanaji, tunaingia kwenye mauaji na uharibifu wa mali na kukosa utulivu kama majirani zetu.

Ao wapinzani maisha Yao yatakua jela na uhamishoni mpaka mwisho wa maisha Yao.

Angalia Kiiza Besije wa Uganda yupo Mahabusu mpaka Leo Mzee, Boby wine ndio huyo.

Pale Rwanda wapinzani wanauawa mpaka uko ughaibuni waliopo jifucha, walio pale Rwanda wapo Magerezani.
Ni mifano iliyopo kwa majirani zetu kwaiyo tuchague Nini tunataka.

Izo Nchi zilizo katika matatizo pia ni Nchi kama ilivyo Tanzania kwaiyo tusijione Special, tunatakiwa tuchukue hatua.
Walikua wapi kufanya maridhiano kabla ya mauaji? mbona haya mambo yalisemwa sana kabla sasa watu washa poteza maisha ndio wanakumbuka maridhiano?
 
Hapa

Hapa hatuzungumzii chama cha siasa kabisa hayo maridhiano wanayotaka kufanya na cdm hayatosaidia kitu hii mbogi ni mixer
 
Walikua wapi kufanya maridhiano kabla ya mauaji? mbona haya mambo yalisemwa sana kabla sasa watu washa poteza maisha ndio wanakumbuka maridhiano?
Wmeshindwa kubeba mtot akiwa mchanga wataweza kumbeba akiwa keshakuwa mkubwa never ni uongo ,
 
Wanatafutwa mbuzi wa kafara, wakuangushiwa lawama gavo ipo tayari kuwalipa chochote hawa mbuzi wa kafara..

Kuwapo ktk kamati ya maudhiano ni kutake risk ya uhai wako au familia yako kwa vipande vya pesa.

Najuwa watatafutwa wafiwa feki,waliopoteza mali feki,na wasanii wasio n haya, na viongozi wenye tamaa na baadhi ya wazee wasio na busara pamoja na viongozi wa dini wenye uchu wa pesa

Sasa hao watakao kuwa katika kamati wapo tayari waguswe direct au ziguswe familia zao yani mmoja wa mwanafamilia either mtoto auwawe kinyama alafu mwili wake uchomwe usipewe ata majivu then maridhiano ndo yaanze,

Hapo hapo ukiwa ktk kikao cha maridhiano upate notificatin nyumba yako inaungua na watoto wamefungiwa ndani je utaendelea na kikako au utaanza kuangua kilio na kuharibu kikao

Hapo hapo ukiwa ktk maridhiano unapata sms kwamba sali sala zako za mwisho leo lazima ufe hapo hapo unatumiwa picha ya mwanao ameuwawa kinyama kumbuka ushaa undergo menopause kikao kitaendelea kweli?

Katika maridhiano uwezi kwepa kukiri kwamba watu wameuwawa kinyama na miili yao kuteketezwa/kutupwa bila utu ,hawa hawa wanaofunika kombe ndo watakuja ktk maridhinao kusema nini cha kujenga

Utasema wanachi mtusamehe kwa uharibifu uliotokea na waliopoteza maisha. Uharibifu utaonesha picha ila walipoteza maisha hutoonyesha hayo maridhiano gani

Lazima mkiri na muwajibike kwa yote yaliyotokea Nchi ni bora kuliko kikongwe na ajuza mmoja wa miaka 70. Nitashangaa sana kuona mtu akienda risk familia yake kwa ajili ya maudhiano, uyo kibibi hana miaka 20 mbele huu utawala hauna zaid ya miaka 5.1 mbele

Mwacheni amalizane na wanachi wake mwenyewe na hao polisi hawana akili kama shida ni pesa si mngesema sio muuwe watu kwasababu ya pesa

Mgewapa wanachi njia bora ya kuandamana kuliko kuwauwa mpate ml5 , mgetafuta tawi moja la benki mgeenda mkachukua billion zenu kadhaa mkagawana alafu mkawaacha wananchi kuliko kuwauwa kama si kisasi ni nini
Maridhiano salama kwa kipindi hiki huenda ni yale pekee ya kujiunga na nyonya damu vinginevyo unajikaanga kwa mafuta ya nyonya damu,tena kwa hiyari bila shuruti.!
 
Ata kama wamekufa watu lakini kwa Hali tuliyonayo lazima maridhiano yafanyike, kinacho takiwa ni watu sahihi wa kukaa kwenye meza ya Maridhiano.

Kama Mandela pamoja na mauaji ya ma elfu ya raia alikubali maridhiano si vibaya na sisi tukae kwenye maridhiano.
Hatuitaji wafe maelfu ya watu ndio tukae kwenye maridhiano, Serikali iliyopo na kwa namna serikali za kiafrika zilivyo.

Wanao uwezo wa kutuongoza kwa Mkono wa chuma mpaka pale Mungu atakalo ingilia kati.

Tumeona Rwanda, Uganda n.k zote izo zinaongozwa kwa Mkono wa Chuma kwa miaka mingi na mauaji ya watu wengi na izo serikali na vyama vyao Bado zipo na haijulikani zitatoka lini.

Tusifanye upuuzi wa kukataa kila kitu kama ilivyokua katika Katiba ya warioba.

yale mapendekezo ya Katiba ya warioba tunge kubaliana nayo tusinge fikia hapa tulipo.

Nashauri tuingie kwenye ayo makubaliano na watu sahihi tuone nini kitapatikana

Mambo ya kutunishiana misuli wakati Mwenzako kashika mpini wewe umeshika makali vijana watakufa kwenye maandamano na Bado hakutakua na kitu cha maana tutakacho vuna.

Nchi zinazo tawaliwa kwa mkono wa chuma uwa hazitoi hii nafasi marakwamara , tuitumie sasaivi kwakua imepatikana

Kujifanya wapambanaji, tunaingia kwenye mauaji na uharibifu wa mali na kukosa utulivu kama majirani zetu.

Ao wapinzani maisha Yao yatakua jela na uhamishoni mpaka mwisho wa maisha Yao.

Angalia Kiiza Besije wa Uganda yupo Mahabusu mpaka Leo Mzee, Boby wine ndio huyo.

Pale Rwanda wapinzani wanauawa mpaka uko ughaibuni waliopo jifucha, walio pale Rwanda wapo Magerezani.
Ni mifano iliyopo kwa majirani zetu kwaiyo tuchague Nini tunataka.

Izo Nchi zilizo katika matatizo pia ni Nchi kama ilivyo Tanzania kwaiyo tusijione Special, tunatakiwa tuchukue hatua.
Una hoja mkuu.
 
Back
Top Bottom