Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Hapana
Kulikuwa na namna ya kuepusha mauaji ya watu 1000+ kabla ya vurugu...Wanatafutwa mbuzi wa kafara, wakuangushiwa lawama gavo ipo tayari kuwalipa chochote hawa mbuzi wa kafara..
Kuwapo ktk kamati ya maudhiano ni kutake risk ya uhai wako au familia yako kwa vipande vya pesa.
Najuwa watatafutwa wafiwa feki,waliopoteza mali feki,na wasanii wasio n haya, na viongozi wenye tamaa na baadhi ya wazee wasio na busara pamoja na viongozi wa dini wenye uchu wa pesa
Sasa hao watakao kuwa katika kamati wapo tayari waguswe direct au ziguswe familia zao yani mmoja wa mwanafamilia either mtoto auwawe kinyama alafu mwili wake uchomwe usipewe ata majivu then maridhiano ndo yaanze,
Hapo hapo ukiwa ktk kikao cha maridhiano upate notificatin nyumba yako inaungua na watoto wamefungiwa ndani je utaendelea na kikako au utaanza kuangua kilio na kuharibu kikao
Hapo hapo ukiwa ktk maridhiano unapata sms kwamba sali sala zako za mwisho leo lazima ufe hapo hapo unatumiwa picha ya mwanao ameuwawa kinyama kumbuka ushaa undergo menopause kikao kitaendelea kweli?
Katika maridhiano uwezi kwepa kukiri kwamba watu wameuwawa kinyama na miili yao kuteketezwa/kutupwa bila utu ,hawa hawa wanaofunika kombe ndo watakuja ktk maridhinao kusema nini cha kujenga
Utasema wanachi mtusamehe kwa uharibifu uliotokea na waliopoteza maisha. Uharibifu utaonesha picha ila walipoteza maisha hutoonyesha hayo maridhiano gani
Lazima mkiri na muwajibike kwa yote yaliyotokea Nchi ni bora kuliko kikongwe na ajuza mmoja wa miaka 70. Nitashangaa sana kuona mtu akienda risk familia yake kwa ajili ya maudhiano, uyo kibibi hana miaka 20 mbele huu utawala hauna zaid ya miaka 5.1 mbele
Mwacheni amalizane na wanachi wake mwenyewe na hao polisi hawana akili kama shida ni pesa si mngesema sio muuwe watu kwasababu ya pesa
Mgewapa wanachi njia bora ya kuandamana kuliko kuwauwa mpate ml5 , mgetafuta tawi moja la benki mgeenda mkachukua billion zenu kadhaa mkagawana alafu mkawaacha wananchi kuliko kuwauwa kama si kisasi ni nini