Je upo tayari kuwepo katika kamati ya Maridhiano?

Kulikuwa na namna ya kuepusha mauaji ya watu 1000+ kabla ya vurugu...

Kwa makusudi, walishupaza shingo,maridhiano yatarudisha roho zilizopotea?

Waache michezo ya kitoto, it will be absurd!
 
Mtu anayeng'ang'ania maridhiano sasa wakati alikataa maridhiano kabla ya uchaguzi namuona NDUMILAKUWILI, hana hadhi hata ya kuitwa baba kwenye familia yake. Sababu angekuwa kapoteza mtoto au mke kwa kupigwa risasi asingekuja kuharisha hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…